Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya , wenye timu zenu na nyie mje kuweka zenu. Wakunya kaeni kimya nataka niwavimbie wanangu makolo na Uturuki plus kambakamba, ila kama mna weza game bas karibuni. πŸ‘‡jana.
 

Attachments

  • Screenshot_2024-01-31-21-26-24-43.png
    31.9 KB · Views: 16
ukija kisumu halafu ufike kaloleni kwa wanubi unatarajia nini.....
Hehehehe nimecheka sana mm kisumu nimeizunguka yote na sio kisumu tu kenya nzima nimeizunguka sehemu sijafika kenya ni lamu na turkana 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Na hakuna border mm sijapita zote nimepita hakuna kitu utanidanganya
 
Chezenu tu ile siku Brigadier atakasirika tutateka hicho kinchi kenu kya ukiswahili uswazi ya tanganyika
View attachment 2890781
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣.
Malizaneni na vurugu za gunmen kwanza huko Kunyaland.
Maana Tz ni millitary personnels sio gunmen.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Mie ukinzani wangu na wewe ulikua kuhusu PEC sio hizo data.
Colonel Venus star njoo ushughulikie hii mutu ya kibera.
Nilidhani wewe ni mtalamu kwa maswala ya afya. Umeona data ukaanza kulia. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Data na kuzungumzia ufanisi wa kifaa tiba vinahusianaje??
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Brotheee are you drunk?
Nilishakuemilisha jana, siwezi poteza muda wangu kujirudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…