mmeweka nguvu yote kwa hiki kijiji cha dodoma lakini wapi.....ka ushago tu.Kisumu can comfortably rank number 2 in Tanzania in terms of developmentDodoma is huge, this is Treasury square area, it's 4km away from DODOMA City center 👇View attachment 2890705dodoma ni kubwa balaa na maendeleo yanafanywa everywhere. Nakuja
you desperately post these tu government project....what is so extra ordinary about this village upgrading project bro......anyway in tz kila kitu ni serikali ya ccmuDODOMA is huge, imagine this is 17km from DODOMA City center 👇View attachment 2890654View attachment 2890655
Kwa hiyo serikali ya kenya kwisha ni bora sio?😂.....anyway in tz kila kitu ni serikali ya ccmu
Wewe jamaa ni mshamba sana 🤣 🤣 🤣 🤣
Kisumu ipi unaongelea hii ambayo naijua mm au kuna kisumu nyingine kenya siijui?🤣🤣mmeweka nguvu yote kwa hiki kijiji cha dodoma lakini wapi.....ka ushago tu.Kisumu can comfortably rank number 2 in Tanzania in terms of development
View: https://youtu.be/V2Ml9zkryBU?si=hAuKibYSpL2yKqxf
Wabongo munapenda kubaki nyuma sana wakati dunia inabadilika kwa kasi. New technologies zinatokea kila siku lakini kama kawaida munabaki nyuma ju akili zenu za kijamaa zinafanya muwe slow. Kitambo diagnosis ya SPECT CT ilikua inatumia machine mbili, moja ya SPECT na nyingine ya CT scan. Kwa sasa teknolojia imebadilika na kampuni kama General Electric inatengeneza machine ya hybrid SPECT/CT ambayo imeunganisha machine zote mbili kua kitu kimoja kama machine za PET/CT. Soma hapa abstract ya mtalaamu ujue advantages za SPECT/CT kwa dunia ya sasa.
View attachment 2890338
A review on the clinical uses of SPECT/CT - PubMed
In the era when positron emission tomography (PET) seems to constitute the most advanced application of nuclear medicine imaging, still the conventional procedure of single photon emission computed tomography (SPECT) is far from being obsolete, especially if combined with computed tomography...pubmed.ncbi.nlm.nih.gov
Kaenda ku Google, katumia saa nzima na bado katoa boko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ukija kisumu halafu ufike kaloleni kwa wanubi unatarajia nini.....Kisumu ipi unaongelea hii ambayo naijua mm au kuna kisumu nyingine kenya siijui?🤣🤣
Halafu ana Kiswahili cha kinyang'au. Eti "unakuanga pumbavu...", ha ha ha anaongea kama ana mafua😁😁
Unaweza kukuta anapumuliwa maana huko Ukunyani mnajulikana kuhusudu hiyo kitu!Chezenu tu ile siku Brigadier atakasirika tutateka hicho kinchi kenu kya ukiswahili uswazi ya tanganyika
View attachment 2890781