Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa ground hakuna kitu, ni vijiji na mashamba za mihogo.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
They think a city status in development is measured by its land sizeβ€¦πŸ€£πŸ€£β€¦in the US the largest city is Sitka in Alaska state…. 98% of the city is wilderness… similarly Dar is only modern around downtown…. ( less than 2%)…Outside of that tiny area ni Uswazi na shamba za mihogo … 🀣🀣🀣
 
Thika ni kiambu county ina bunge lake ina governor wake ndio maana nairobi inaitwa nairobi city or nairobi county πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… au nairobi imeshindwa kupambana sasa inaomba msaada thika ya kiambu??? Usione aibu sema tu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…


Ndio maana ukiambiwa mbweni iko over 40km ndani ya dar na kuna nyumba za kifakhari hata karen haioni ndani usishangae πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Eti dar iko na nn nimecheka sana🀣🀣
 
Enyewe unakuanga pumbavu. Kumbe hujui tofauti ya Kiambu County na Kiambu Town. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Nairobi imezungukwa na towns mingi hadi hujielewi.
Kiambu county na kiambu town tofaut ni nn??🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Ikiwa kutoka CBD mpaka kiambu ni 16km sawa na kutoka dar CBD mpaka mwenge sasa wewe unashangaa nn πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣mm hua napiga kwenye mshono na bahat nzuri munanijua vzr
Kwamba nairobi imeshindwa sasa inaomba msaada kutoka kiambu county ambayo iko 16km from CBD ni sawa ???🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣mm hua napiga kwenye mshono na bahat nzuri munanijua vzr
Baada ya kukupiga kama mbwa kwa metropolitan area. Sasa tena nakupiga kama punda kwa city proper.

Nairobi Super City πŸ‘‡ πŸ‘‡


View: https://www.youtube.com/watch?v=vb1gXkBTZxg&t=141s
Dar is a slum πŸ‘‡πŸ‘‡ Dream houses ni nyingi kuliko ghorofa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


View: https://www.youtube.com/watch?v=KmXil-4lhCc
 
Nairobi sasa inaomba msaada kutoka county jirani baada ya kukutana na kitu kizito 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 na mm hua nafurah kuona vile dar inawanyima usingizi manake munahaha kweli wakat tulitegemea muwe sawa na singapore ajabu hata zimbabwe ina nafuu
CBD to westland 3km
CBD to upperhill 3km
CBD to kilimani 6km
CBD to kibera slum 5km
CBD to kiambu county 16km

Biashara imekwisha πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Sikuizi tunaongea na video. πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ˜‚ πŸ˜‚


View: https://www.youtube.com/watch?v=KmXil-4lhCc

View: https://youtu.be/vb1gXkBTZxg?si=IjPqmznZjFDO-a5j&t=147
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…