President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,655
- 94,301
Yeah....its laughable how you guys are poor but are in complete denial.Very laughableLaughable
Tz ni taifa smart sana. Definition ya maendeleo huko north ni only flyover and some few high rise apartments. 😂😂😂😂. Ukiwa ni mfuatiliaji mzuri wa maongezi utakuta hivyo ndio vitu pekee vyenye wanajisifu navyo. 😂😂😂 Kwenye sector ya uzalishaji humo hawafanyi chochote and they're far behind us. Sisi tumefanya makubwa mpaka tunaingia kwenye Top 20 za dunia kwenye bidhaa tofauti tofauti za kilimo.. kubishana na vilaza ni kujishushia heshima sanaZaidi ya Boat 500 zimegawiwa na vizimba zaidi ya 1000 vimegawiwa. Kizimba kimoja kinaweza kutoa zaidi ya tani 10 za samaki. Hapa ni Ziwa Victoria leo Rais amezindua.
Tanzania Oyee!!! Kenya Zerooooo!!!
View attachment 2888348
View attachment 2888349
View attachment 2888350
this overrated isiolo mnajaribu lakini wapi.....looks so villagish
Hivi hii ndiyo sura yako KANAIRO ?this overrated isiolo mnajaribu lakini wapi.....looks so villagish
Lakini kazi ya kusafisha wazee wa kizungu haitaki kujua kufinya kompyuta. 😂😂😂Jifunze “kufinya” kompyuta Ruto “akupatie” kazi. Acha kulia kulia😂
😂😂😂 Amka utakojoa. 😂😂😂😂Mombasa gates bridge coming up soon...hii ikijengwa Mombasa itafunika dar kwenye infrastructure..
View attachment 2888365
View: https://www.youtube.com/watch?v=9Cc04nM68A8&t=152s
Mama Ngina anaendelea kula bata. 🤣 🤣 🤣Mombasa gates bridge construction finally is set to begin....hii ikijengwa Mombasa itafunika dar kwenye infrastructure..
View attachment 2888365
View: https://www.youtube.com/watch?v=9Cc04nM68A8&t=152s
Mji msafii well planned, barabara Pana, pedestrian Walk ways Pana, cyclists lanes pana, ikijazwa gorofa itapendeza zaidi... I also would like to see the construction progress of mashujaa monument.. hakuna picha yoyote enye umeona, please share with us.
Kuna wapuuzi wanafananisha Dodoma na Tatu city hebu walete SGR Train station yao na wakimaliza walete ring road yao na airport yao U/C!
Vitu vingine unaonyesha hapa ni aibu ☝tulipita huko miaka ya 90😆😆Kenya Built.
View attachment 2887401