Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ugly designs. We don't do this. Our normal man's bungalows look like this with large windows.
Yaani katika karne hii ya Technologies unaongelea Design!!! 🀣 🀣 🀣 🀣 😁 😁 😁 Nadhani bado uko nyuma sana kwenye issue za technology. Watu kwa sasa wanaongelea AI wewe unakuja kutupigia kelele kuhusu design ya kajumba tena ka hovyo hivyo πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Boundaries don't matter. What matters is you'll be driving through a continuous urban area for over 80km just to cross Nairobi - something you can't find in Tanzania. 😎
Na kote ni slums halafu mnasema mpo wachache, kwanini mnapenda kufake maisha wahuni nyie? Yaani kwenu ni pride kuwa congested sababu ndio kitu nilichoona kwenye video, mpo kama wadudu mnapenda kubanana na kujambiana
 
Boundaries don't matter. What matters is you'll be driving through a continuous urban area for over 80km just to cross Nairobi - something you can't find in Tanzania. 😎
Mzee unajitekenya na kucheka mwenyewe. Unadhani hapo Kunyaland hatupajui? Wadanganyeni South Sudan πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Ukubwa wa Nairobi ni 696.1 kmΒ², maana yake 30.2km x 23km
In that small area you find more than 10 slums.
Hebu weka sasa proof ya hizo 80km 🀣🀣🀣🀣
 
Sikulaumu mana ni tatizo la kenya nzima, hamjui hesabu hata takwimu kusoma hamjui, hili(000) manaake nnπŸ‘‡πŸ‘‡
 
Na kote ni slums halafu mnasema mpo wachache, kwanini mnapenda kufake maisha wahuni nyie? Yaani kwenu ni pride kuwa congested sababu ndio kitu nilichoona kwenye video, mpo kama wadudu mnapenda kubanana na kujambiana
Do not confuse Dar with Nairobi.
This is a slum.

This is not.
 
What is the area of the slums? In Dar, boundaries make 1500 sq. km, built up area is anly 800 sq. km, slums make up 500 sq. km of the 800.
 
Anataka kuleta vurugu East Africa. Na hatumfukuzi EAC bali tunawaondoa M23.

Huu ni muda mwafaka wafadhili wale wapo wanahangaika na mambo mengine.
Wewe na hii kukariri Blue Buildings inaashiria mtu asiye na knowledge yoyote na pia mtu ambaye hajatembea ulimwengu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…