Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sindano imekuingia naona. πŸ˜‚
Mzee sindano gani hiyo Tanzania yenye source nyingi hivi za maji ishitushwe na dimbwi hilo? Au unataka nikuwekee project hapa ukimbie kama kawaida yako 🀣 🀣 🀣
Kwa sababu umelilie wembe ngoja ukukate sasa

Huko tulishatoka miaka mingi sana

1. Ruvu Juu


 
20Km from Nairobi CBD unapata malls with big retail stores, banks, offices. Dar is a slum 20 km from CBD huwezi pata malls and commercial spaces. Ni shamba za mihogo na vijiji tu. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚



 
Umeanza kuleta takataka sasa. Hii ni Battle ya Dar es salaam vs Nairobi.
Sasa hizo takataka unazileta kwani Nairobi imeisha? 🀣 🀣 🀣
Ebu nionyeshe any bank 30km from Dar is a slum CBD. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
I posted a new reservoir. This is an existing water treatment plant. You're childish and stupid.
 
Kama huoneshi Bus stand nitakuona wewe ni mpuuzi no 1. Yaani wewe tukuambia ulete unakimbia unakuja na different account. Huu ni woga. Nyie wakenya ni waoga 🀣 🀣 🀣
Dar is slum kumbe imezungukwa na vijiji.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Usikimbie mzee. Leo nakuua. Kama hakuna bus stand sema tuanze battle nyingine. 🀣🀣🀣
Hakuna mahali nimediscuss na wewe anything kuhusu bus stands. Nilikuambia unionyeshe urban centers 30km from Dar is a slum. Kwani CRDB bank hawana any branch 30km from CBD? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hakuna mahali nimediscuss na wewe anything kuhusu bus stands. Nilikuambia unionyeshe urban centers 30km from Dar is a slum. Kwani CRDB bank hawana any branch 30km from CBD? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Je, Nairobi imeisha? Maana 30Km ni nje ya Nairobi. Anzisha thread nyingine nitakuja kukupatia moto. Maana unaanzisha vitu bila utaratibu. Au siku hizi wakenya mmekuwa vichaa? 😁 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…