The bus was assembled in Kenya. Anyway you are allowed to cry incase umetumia sana.π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Mm nimekwambia ukileta ushahidi imekua assembled in kenya mm nafunga acc sasa hvi
Simple and clear π π π π π π π
I can see how AVA has got a good market in Tanzania. All those Land cruisers were bought from Kenya.π€£π€£π€£π€£
Ngoja tuanzie hapa
View attachment 2884602
Hanspaul Automechs Limited
Designing and Fabrication of Safari Vehicle bodies and manufactures
Nimekuuliza swali rahisi nioneshe ushahidi kua ile bus ilikua assembled in kenya ??But Golden dragon are assembled in Kenya. Ama unataka nikuonyeshe?
Mm hua siumii ila napiga kwenye mshono ndio kawaida yangu π π π π π πThe bus was assembled in Kenya. Anyway you are allowed to cry incase umetumia sana.
Ebu nionyeshe hiyo basi ikishushwa Mombasa Port. Umeinsist imenunuliwa China, tuonyeshe ikishushwa.Nimekuuliza swali rahisi nioneshe ushahidi kua ile bus ilikua assembled in kenya ??
Na zile zilikua bus 10 za congo ilikua order maalumu lakini hakuna assembly plant ya golden dragon in kenya na haitatokea mpaka dunia itasmama π π π π
Good market gani ?? π€£π€£π€£π€£π€£I can see how AVA has got a good market in Tanzania. All those Land cruisers were bought from Kenya.
Ebu nionyeshe hiyo basi ikishushwa Mombasa Port. Umeinsist imenunuliwa China, tuonyeshe ikishushwa.
So hizo Toyota land cruisers ni za howo?πππGood market gani ?? π€£π€£π€£π€£π€£
Ww hujui kwann china wanaweka assembly plant yao ya howo na other chinnese trucks like faw tayar zishakua assembled nyingi in tanzania??
Na kwenye bus wataanza soon ku assemble in tanzania
Yes, Chinese firm Kenyan branch. So hapo ni Mombasa Port?πππ
Tununue 767 300F nyingine halafu hawa Kenya wawe wanatukusanyia mizigo na 737 zao tupeleke ulaya na Asia.Liko nyuma apo nililiacha linapakia mzigo, nadhani litakuwa lishaondoka au linakaribia kuondoka.
Toyota land cruiser gani tena huko ndio usiguse kabisa ntakuaibisha mapema sanaπ πSo hizo Toyota land cruisers ni za howo?πππ
Weka link hapa mzee. You live in a fantasy world.I can see how AVA has got a good market in Tanzania. All those Land cruisers were bought from Kenya.
Even in Dodoma government city umeme, data ziko underground na pia green lanes zipo za kutosha.Everything you have mentioned are in Konza and they are properly laid out than anywhere else in East Africa. For your information Konza is the only city with an underground electric supply cables, underground and enclosed sewage, underground and enclosed water system.
Iko wapi hio kenya branch ?? Nicheke mpaka asbh π€£π€£π€£π€£π€£Yes, Chinese firm Kenyan branch. So hapo ni Mombasa Port?πππ
Kwa leo inatosha haya nenda ukale sasa π€£Yes, Chinese firm Kenyan branch. So hapo ni Mombasa Port?πππ
Michele ya asia huwa haishikani kweli na hata yetu pia haishikani, pia ukipika mchele wa tz afu ukaona inashikana na wewe hukutaka iwe hivyo basi ujue tu jirani kupika wali huwezi, unapika mchele kwa njia ya kupika ubwabwa afu unategemea upate wali. Jirani kuna wali na ubwabwa, wewe unaonekana unapenda sana wali ila unaweza kupika ubwabwa. Mapishi ni sayansi... Uje kwa dada zetu wakufundishe kupika. Kwanza ushawahi kuona wali wa mahindi? Au umezoea ugali tu?Michele ya Tanzania nilijaribu once na sijawainunua tena. First, it's non aromatic and two zinashikana. I don't like rice inakaa kama ugali.
Nyie mmeanzisha kiwanda cha ku assemble magari kwenye nchi gani?Nyinyi mmeenda wapi? Ama hamna uwezo wa kuanzisha kiwanda kwa nchi ya wafrika wengine?