Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fact gani unaongea taifa stars imekusanya pesa nyingi tu kuingia makundi nyinyi mumekusanya nn zaidi ya njaa na maji ya sewage kutoka kibera??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Of course you had to change gear and mention Kibera as usual. Typical of bongolalas wakishashindwa kwenye hoja
 
USA ipi kijana wangu? Maneno ya Biden ndiyo policy ya USA?

Nimekwambia. Jaribu kujifunza kwanza kabla ya kuonesha namna gani usivyojua mambo hapa.

View attachment 2879480
Ndio maana nimekwambia kuwa una ujuaji mwingi usiofaa unakupoteza unakua na mtazamo mgando.
Kuna sera za Taifa na kuna sera za kiongozi juu ya masuala tofauti ya kidiplomasia.
Hata Trump alikua na sera zake juu ya China ambazo hizo sera zilikua tofauti na Barrak Obama juu ya China.
Unatakiwa ujifunze kuhusu diplomasia kiundani bado una mawazo mgando.
Biden alipeleka mpaka silaha Taiwan na alimtuma Hillary Clinton pia ipeleke ujumbe kuwa inaheshima kujitawala kwa Taiwan.
Labda hujui sasa hivi siasa za dunia zinaendeshwaje.
Viongozi huunga mkono viongozi wingine kwa kulinda interest zao mahali pale.
Kuna interest kubwa US akimtetea Taiwan kujitawala.
Hilo sidhani kama unalijua.
 
Siku hizi buses za Tanzania their number plates ni KDM? I didn't know thatπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
Unajitia uchizi au sio kati ya sisi na nyinyi nani anafatilia mambo ya mwenzie??🀣🀣
 
Kwa katiba ipi? Na kwa utaratibu upi?
Kwani inahitaji katiba nchi kujitenga??
Kwani Eritrea ilipojitoa toka Ethiopia ilitumia katiba?
Sudan ilipojigawa ilitumia katiba??
Kuna sababu za ukabila toka 1986 akiwa anatawala Said Berre zilizofanya Somaliland kujihengua.
Na mpaka sasa bado kuna ukabila kati yao unadhani nchi itastawi kwa kuungana na upande unaoendekeza ukabila??
Bro we siasa hazikufai.
 
Magufuli is a person and not a culture. Nyinyi mnajaribu kucopy Matatu culture, the only thing limiting you is that hamjui kuchoraπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Ohh na CCM ni nini?? Kumbe munaijua CCM na munaipenda πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…