Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaijua vita ya Chechnya wewe? Hilo vuguvugu kila sehemu mavugu vugu yapo.

Kwani unajua somalia ni Federal Republic of Somalia?
Bro unafanya mambo yawe complex.
Chechnya yenyewe ilikua na migogoro ya ndani na migogoro ya nje.
Somaliland yenyewe inajitambua kuwa republic ikiwa inafanya uchaguzi wenyewe pasi na kuihusisha Somalia republic.
 
Bro unafanya mambo yawe complex.
Chechnya yenyewe ilikua na migogoro ya ndani na migogoro ya nje.
Somaliland yenyewe inajitambua kuwa Federal republic ikiwa inafanya uchaguzi wenyewe pasi na kuihusisha Somalia republic.
Unajua maana Federal government?
 
Unataka El-sisi afanyeje? Kwani vita vya Palestine na Israel vilianza kipindi chake?
Na wewe nakuona kama mnafiki vile.
Kwani Saudia hana uwezo wa kuwatetea Palestine? Kwanini iwe El- sisi tu?
Huoni unafiki wa Saudia?
Unaona bro unavyofanya mambo yawe complex??
Nimemzungumzia Elsisi sijamzungumzia Muhammed Salman.
Angalau Saudia imechukua hatua za kidiplomasia zaidi ya Israel.
We wanajeshi wako tisa wanauliwa ndani ya mipaka yako kimakusudi na bado unabung'aaaa!?
Basi asingempindua Morsi ambae alikua tumaini la Arab league.
 
Na SORRY nirekebishe kauli.
Somaliland inajichukulia kuwa republic ila Somalia ndio inajichukulia kuwa Federal government.
Mavuguvugu yapo maeneo mengi sikatai ila kila vuguvugu lina sababu zake.
Vuguvugu la kuvunjika kwa Somalia Federal lilianza 1986 na lilikua la kikabila yani halina tofauti na la South na North Sudan.
 
In our generation, we have no strong command of the English language because in our formative years, it wasn't prioritized. You guys on the other hand, started learning the language early, you are expected to pronounce words properly.

Unlike Kenya, Zimbabwe, also an English speaking country is doing better.
 
Alifanya mapinduzi kwaajili ya Palestine au kwaajili ya Egypt?

Mbona sikuelewi? Nchi za kiarabu ni Egypt tu? Mbona huongelei Jordan ambayo ipo karibu kabisa na Palestine?
 
Ndio maana nikakwambia Somaliland inatambulika na Taiwan pekee ambaye siye member wa UN. Usilazimishe mambo kwa kutumia hisia. Use knowledge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…