Huo umeme wenu wa makaratasi mpaka Airport inaingia giza mbona hatuuoni.Tanzanian electricity installed capacity is 1,777.1MW. Mtu asikutishe na gazeti la kufunga nyama.
Pangani Affordable Housing. 5 blocks, 15 storeys each
Ni Jimbo tuu la Somalia so hakuna Kipande Cha Ardhi kitakiuka mamlaka ya Somalia Kwa excuses ya kuwa semi autonomous.Somaliland imekua semi autonomous toka 1993.Na Somaliland ilipata uhuru kivyake na ilikataa kuungana na Somalia.
Ila Somalia inalazimisha muungano.
I'm still waiting for you post a tall residential housing project.Battle imekushinda.? Mkuu.? 😂😂😂 Huu ni mradi mpya.?
Sio jimbo la Somalia bro.Ni Jimbo tuu la Somalia so hakuna Kipande Cha Ardhi kitakiuka mamlaka ya Somalia Kwa excuses ya kuwa semi autonomous.
Mwanza,hapa zitahengwa black 3
Ilipata uhuru kutoka Kwa nani? Kama unaunga mkono Somaliland wajitenge ,unga mkono na Zanzibar wajitengeSio jimbo la Somalia bro.
Somaliland ilipata uhuru kivyake.
Na toka huo mwaka wamepambana wajulikane nchi huru ila Somalia inawawekea figisu.
Mzee umeanza kuweka vituko sasa. Umeishiswa?Pangani Affordable Housing. 5 blocks, 15 storeys each
View attachment 2877398
View attachment 2877399
Mradi wa nyumba 3500 unaendelea Dodoma.Pangani Affordable Housing. 5 blocks, 15 storeys each
View attachment 2877398
View attachment 2877399