Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu mpumbavu mwenzako anakulisha utopolo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kinyerezi ipo na phases 2 ambazo they both operating, hiyo kinyerezi 3 ni expansion πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
A bunch of just a few countable blocks. Only 500 units. Mukuru housing alone ni 14, 000 units πŸ˜‚
Unataja namba ambazo ni invisible.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ziko wapi hizo 14k units. Au zipo kwenye hivyo vigorofa vitatu vyenye umepost.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Au zitakamilika in phases Ili nikueleze ni phases ngapi za Samia housing scheme zitadondoka hapo kawe.?
 
Tanzanian electricity installed capacity is 1,777.1MW. Mtu asikutishe na gazeti la kufunga nyama.
Hii figure unataja najua ulipoipata na hii ilikua ni December 2022 while hii ni January 2024, awali ulidai Tz capacity yake ni 1300 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wewe ni kichaa mjomba. Wivu wako hauwezi kubadlisha chochote ground mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…