Mama anachezewa sana na hawa watu na ndiyo maana wanataka aendelee ili wazidi kuichezea wanavyotaka, kwa jinsi hali inavyoendelea ni kwamba hata jnhpp likianza uzalishaji (limeshaanza) bado umeme utaendelea kukatika katika, haya maendeleo machache ya kweli ni kwasababu alipita mzalendo na ndiyo maana wakalazimika kuendelea kufanya kama alivyokuwa anafanya mzalendo japo speed yao ni ya Kobe.Hadi machawa wamechanganikiwa, hawajui pa kutetea
View: https://twitter.com/__abdulazack/status/1748585047567859892?t=6DtcXOjXJsO_Rs7yft43uw&s=19
View: https://twitter.com/__abdulazack/status/1748423088251736520?t=DRrHRK-ElLB2XPbfNIzQAg&s=19
Tatizo la umeme sio maji. Ndio maana wanajua jnhpp ikiisha tatizo litaisha. Magu alisort out hio issue, waliopo sasa hivi imewashinda. Mkombozi wao ni jnhpp waliokuwa wanaipinga.Mama anachezewa sana na hawa watu na ndiyo maana wanataka aendelee ili wazidi kuichezea wanavyotaka, kwa jinsi hali inavyoendelea ni kwamba hata jnhpp likianza uzalishaji (limeshaanza) bado umeme utaendelea kukatika katika, haya maendeleo machache ya kweli ni kwasababu alipita mzalendo na ndiyo maana wakalazimika kuendelea kufanya kama alivyokuwa anafanya mzalendo japo speed yao ni ya Kobe.
Bro, believe me kama Magufuli asingepita nchi hii tungeendelea kuletewa neti kwa msaada wa watu wa Marekani mpaka leo.
Hata jnhpp ikiisha bado kutakuwa na visingizio sijui vya mitambo sijui nini nini, ilimradi tu wapige, lkn sasa itawabidi watumie akili nyingi sana kuongopea wananchi mana jnhpp litawavua nguo zao wakifanya masihara, yule mzee ilikuwa ni lazima wamuondoe mana aliwashika pabaya sana, kwenye umeme ndipo walipokuwa wanapiga mno, sasa ngoja tuone watatumia akili gn kutushawishi tuamini umeme hakuna.Tatizo la umeme sio maji. Ndio maana wanajua jnhpp ikiisha tatizo litaisha. Magu alisort out hio issue, waliopo sasa hivi imewashinda. Mkombozi wa ni jnhpp waliokuwa wanaipinga.
Hiyo judiciary square ndiyo ile kubwa kuliko zote Afrika? Aisee imekaa kimbele mbele sana, kama mamtoni mwanangu โค๏ธโค๏ธ๐๐๐๐๐น๐ฟ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅMt Meru Arusha ๐ป๐น๐ฟ ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
Dodoma Judiciary Square ๐๏ธ๐น๐ฟ ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
View attachment 2877213View attachment 2877216
Pale pembeni naona cartenary means electrified SGR imepita hapo, wallahi kuna maeneo bongo hii yatakuwa na mandhari ya kiulayaulaya haki ya mamaMt Meru Arusha ๐ป๐น๐ฟ ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
Dodoma Judiciary Square ๐๏ธ๐น๐ฟ ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
View attachment 2877213View attachment 2877216