Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,709
Ungekua smart enough nadhani ungeanza kwanza kujiuliza who's Africa facts zone, Halaf ndio uje hapa ulie kwamba we are using photos taken in Mombasa Port.But you are using pictures taken in mombasa πππ
View: https://x.com/kenya_ports/status/1746440855060176983?s=46
Phase one ni ujenzi wa viwanja vya michezo mbalimbali na hotel na ndo hiyo imezungushiwa mabati.Kumbe hiyo fence mliyoiona Dom ni kituo cha Michezo sio uwanja wa mpira. π
View: https://youtu.be/zDJUDPrcvBc?si=BnfaAGdBC3DBFImC.
Owky, kumbe wanapiga kwa phases, ni render ipi watatumia kuitoa kwenye makaratasi kuiweka hapo ground.. share with us, I wanna know.Phase one ni ujenzi wa viwanja vya michezo mbalimbali na hotel na ndo hiyo imezungushiwa mabati.
Phase two ambayo inajumuisha uwanja wa mpira ujenzi bado haujaanza.
Dawasco wanahamia ubungo huku. Pale maji house.Labda hana taarifa sio mbaya tukimpa taarifa. BTW pale Main station jirani kulikuwa na makao makuu ya DAWASA naona wamevunja, je ni eneo wanchukua TRC kuongeza maegesho?
But you are using pictures taken in mombasa πππ
View: https://x.com/kenya_ports/status/1746440855060176983?s=46
Hayo bila shaka yatakuwa madawa ya TB π
Bahlabane bha ntwa π€£π€£π€£π€£π€£Kenya GENGE LA WAHUNI tu
Duuh, we ni Dr.? Mbn unaongea kama mtumbua mishipa mkuu, pia unajua kwa nn jamaa amekuita young man? Ni kutokana na muandiko wako wa kitoto mkuu.Mkuu Kwa sasa nina miaka 55 naelekea kwenye Ukongwe nafurah sana Kuitwa Young men na kijana wa Gen z
Kuna kitu nataka kukushauri kuna wakati Kuonyesha hoja ni vizuri ila sio hizi personal Assasination hazitawasaidia kitu..
Na nimegundua nyote nyinyi ni Alethophobia so vigumu kunielewa
Sawa mkuu!Duuh, we ni Dr.? Mbn unaongea kama mtumbua mishipa mkuu, pia unajua kwa nn jamaa amekuita young man? Ni kutokana na muandiko wako wa kitoto mkuu.
Itakapofika 2030 tutakuwa tushagonga $200b kutoka $150b ya sasa.
Huenda Magu ali deal nao ndiyo maana wakakimbia, Magu alikuwa anataka 50-50 wao kwa kawaida wanataka 90-10.Yeah kila wiki zilikuwa zinakuja nyingi tuu sasa sijui viwanda bado vipo ama vipi?
Wakunya siku hizi wanashambuliwa Kila Kona ππKenya GENGE LA WAHUNI tu
Kwenye render bado ni siri ya wizara na mkandarasi,sijafanikiwa kuiona.Owky, kumbe wanapiga kwa phases, ni render ipi watatumia kuitoa kwenye makaratasi kuiweka hapo ground.. share with us, I wanna know.
Huwa sipendi kujadiliana na mtu aliyevimbiwa ujinga.Tazara si inapita Makambako?