Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 21,166
- 64,106
Check guns hizo. Tunawanyanyasa sana madogo
Hii ni Tanga iliyochangamka 🤣🤣🤣Mombasa City
Mwaka huu 2024 ndio kiama chao 🤣🤣🤣Picha la kutishaView attachment 2870132we kima endeleae kupost vigorofa kimoja kimoja tu Teargas. 🤣🤣🤣
Tanga ni kijijiHii ni Tanga iliyochangamka 🤣🤣🤣
Ukilinganisha na lile bichwa ngombe la kaskazini ni mbingu na ardhi 🤣🤣🤣
Tatu city tangu Kibaki 🤣🤣🤣mzee hii battle ishakuzidi nguvu ni Bora ujisalimishe kama wenzako tuu, sisi tunapost East Africa Commercial Center, EACOP, Bullet train, BRT, New Government City, JNHPP, one among the Biggest industrial park in Africa worth more than $3b(Sino Tan) wewe bado unapost picha zile zile za tangu mwanzo wa battle 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hapa kuna mauaji yananukia.
View: https://twitter.com/ntvkenya/status/1745735782453694628?t=ooJw93Ss0LfcSM7tzYmBog&s=19
Second hand m_ku_ndu wako!! First batch zilikia 12 hizo super puma!! Mpya!! Hatununuagi mtumba kama nyie huki!!Actually 2 are second hand Airbus helicopters. The remaining 3 are not airworthy.
Maumivu bado hayajaisha, dozi zinaendelea. Bado EMUs za double deck hazijatia nanga.Ukilinganisha na lile bichwa ngombe la kaskazini ni mbingu na ardhi 🤣🤣🤣
Maumivu bado hayajaisha, dozi zinaendelea. Bado EMUs za double deck hazijatia nanga.
View: https://twitter.com/KipepeComrade/status/1745898664587887002
View: https://twitter.com/KipepeComrade/status/1745904967402004962
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Second hand m_ku_ndu wako!! First batch zilikia 12 hizo super puma!! Mpya!! Hatununuagi mtumba kama nyie huki!!
Hizi tracks mbona zinamanundu, si ni juzi tuu walikarabati?
Tumewaacha mbali sana hata wao wenyewe wanajua ndio mana wamebaki wachache humu, tulikuwa tunawaambia kila siku mwakani sio mbali wakawa wanasema tumezoea kusema "tuta" "tuta" "tuta" 🤣🤣🤣🤣🤣🤣oya Best 007 sisi sio saizi yao kabisa watuacheee