Lakini waliotuletea democracy wana Marais na wanasiasa wengine ambao ni wafanya biashara wakubwa sana na waliperform vizuri kwenye roles zao both kama wanasiasa na wafanya biashara, marekani Marais kama Donald Trump, George W., George H.W. , Jimmy Carter, Harry Truman, Abraham Lincoln, Andrew Johnson, Warren Harding etc walikua ni wafanyabiashara wakubwa lakini huoni katika history wakihusishwa na ubadhirifu mkubwa kiasi cha kufilisi office zao kwaajili ya biashara zao due to conflicts of interests.
Kikubwa ni kuwekwa tu kwa mazingira mazuri yatakayofanikisha roles zote ziende simultaneously nonconflicted sababu bado tu hawataacha kufanya biashara regardless of whatever declarations sasa si bora tu iwe formalized in a positive manner!
Kama tuliweza kucopy democracy kwao tucopy pia how they made that possible!