chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,083
Wazee wa sevisi ikonomi 😂😂 wanataka kwenda kutoa service kwa vikongwe wa Kijerumani, Kunyaland ni aibu na fedheha ya Africa mababu zao walipinga utumwa lakini wao wanalazimisha umanamba kwa kupiga magoti kabisa 🚮🚮Hawa jamaa wanatia aibu sana, now wanaonesha uwakala wao wazi wazi, hizi ni level za juu sana za uomba omba.
Siku hizi anajua hatopewa pesa kwa hiyo ameamua kuzunguka kutafuta machaka ya kuwapunguzia wakundustan, anatafuta mashamba, viwanda, nyumba za vikongwe na majalala yanayohitaji nguvu kazi wenye nguvu lakini hawana akili wa kufanya kazi za shuruba wapate nafasi wahame Kunyaland lakini anashindwa kuwaambia wakundustan waache kuzaliana hovyo kama skubi 🐶 🚮🚮Ruto anatarajiwa kwenda China kutembeza bakuli tena wiki ijayo😎
Hivi la TRA litakuwa na ghorofa ngapi?Kwasasa hakuna gorofa refu hata moja in East Africa linaloingia kwenye list ya top ten tallest buildings in Africa 🥺. Not even in the near future.
Ila jamani tuache vijiba mtu huwezi ku-post hivyo kwenye biashara ya mtu! Ni hilo tu awe ubia asiwe ubia maana analipa kodi!Nimekutana na hizi posts.. some details are true, not all.
View: https://twitter.com/sirMajujuka/status/1745344801195618311?t=fuQj6OH2nzgHPqDDF5TAZg&s=19
View: https://twitter.com/IssaSibye417267/status/1745340654677311640?t=kmzb2-VXGB--XZmg4oY6Aw&s=19
Umesoma wapi mkuu chanzo chake ni cha uhakika?!, Maana niko na mzuka sana wa vituo!Ingependeza sana, nimesoma mahali kwamba phase 3 itakua na design ya phase 1, sio sawa
Kenya akili zao ni kama panziSasa watashindwaje kusema hivyo kama wanaeza entertain mawazo ya kipumbavu kama ku merge Kenya na Germany? Yani wanataka wawe colony la Ujerumani kisa wapate chakula tuu 🤣🤣🤣🤣
Yan nilijua tu kwa chuki zako zisizo na maana utatoa comment kama hii.Msisahau JPM kumuwezesha huyu jamaa!
Hawa wazungu weusi wa Africa ni shida kweli. Kutoa warning watoe wao aibu nasikia mimi dah kazi kweli kweli