Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Naona hapo total GLA kwenye upande wa Mall ni SQm 56k kumbe wala sio SQm 65k πŸ˜‚πŸ˜‚ hiki ndio tunacholinganisha sasa. Kwamba total GLA za EA commercial and logistics center ni SQm 75k while yours ni 56k SQm .. sasa hapo according to you ni mall ipi ni kubwa mzee.? πŸ˜‚πŸ˜‚ Naona unakaza fivu unapost hadi picha za office buildings πŸ˜‚πŸ˜‚ office buildings ni sehemu ya mall.?
 
Your browser is not able to display this video.


JHNPP Mzee wetu.
To be Honest wakuu me ni deaf so sikuweza msikia sana mzee zaidi ya nukuu.

Kutafuta video za sub ni taabu. Imetafsiriwa neno kwa neno, ila nimeweza pata heart warming words.

Hili sakata la umeme nimeelewa why hatukua nalo kabisa mzee hakua analipenda kabisaaa no wonder halikuwepo, ila now shida nini?
 
Kijamaa kimeenda kutafuta ukweli kwenye website ya Two rivers mall πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio kimezidi kujitia kidole. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nairobae kuanzia leo naomba uwe na heshima na East Africa commercial and logistics center, The largest shopping mall in sub Saharan Africa outside South Africa.
 
We mshamba nini? Unadhani malls hua shopping spaces pekee? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Najua hamjazoea malls huko bongo lakini sio lazima uonyeshe watu we ni mshamba. Malls hua na retail shops,supermarket, night clubs, restaurants, offices, banking halls, cinema, medical centers or hospitals, hotels, etc. Yani mall ikona kila kitu in one place. Kwanza sijui mbona munaforce kuita hio kitu mall na clearly wamesema ni business center tu with warehouses na vijiduka vidogo vidogo. Facility ikona 1000 parking slots while two rivers ikona over 2000 parking slots na bado unadai kubishana. Anyway wacha hio kitu munaita mall iishe tuone size ya hizo 2000 shops. I can't wait to laugh. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwanza who is the anchor tenant kwa hio mall yenu?
 
🀣🀣🀣🀣🀣 Mzee bado mbona huwezi badilisha ukweli kwamba East Africa commercial and logistics center Iko na shopping spaces zenye ukubwa wa 75k SQm which makes it the largest mall in sub Saharan Africa followed with Two rivers mall with the shopping spaces zenye ukubwa wa 56k SQm.. 🀣🀣🀣 Hizo habari zingine me sizijui mzee.
 
In fact hio mall yenu ndio itakua na the most number of shops in Africa with 2000 shops, mingi hata kuliko the biggest mall in Africa. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Enyewe wabongo mnakuanga gullible. The biggest mall in the world has 2300 stores, inaonekana hio yenu nikama itakua the 2nd biggest mall in the world basi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
nakuambia tanzanians are the mother of clueless people you can ever argue with...thats why i give 0.01% of my time on this useless consolation page for tanzanians
 
Umepigwa uppercut nzuri na wewe ukajipiga kidole chenye usajili wa NIDA sasa umehamia kwenye idadi ya maduka we jamaa nani anakulipa? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umepigwa uppercut nzuri na wewe ukajipiga kidole chenye usajili wa NIDA sasa umehamia kwenye idadi ya maduka we jamaa nani anakulipa? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


2000 shops with 1000 parking slots. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Does that even make sense to you? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Alafu hizo warehouse zenu zitakua floor gani? Na anchor tenant ni nani? Ju inaonekana munajua sana. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hebu mutuambie ndio tuwapigie makofi kwa kua na the mall with the most number of stores in Southern Hemisphere and biggest in Africa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umepigwa uppercut nzuri na wewe ukajipiga kidole chenye usajili wa NIDA sasa umehamia kwenye idadi ya maduka we jamaa nani anakulipa? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
like for example look at such a dimwit.They can only argue with us Kenyans only because we can entertain their nonsense.You will never hear them have discussion with any other country in this world except Kenya
 
like for example look at such a dimwit.They can only argue with us Kenyans only because we can entertain their nonsense.You will never hear them have discussion with any other country in this world except Kenya
A proper dimwit. They are always obsessed with us, that's why this is the most popular thread in this forum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…