Sure , Pia Chuga panahitaji Njia nne kuunganisha moshi na Arusha , ile road iko busy sana na kuna muda inakuwa na foleni kabisa , serikali ianze kwa internal funds . Hii misaada inatuchelewesha, tena ingekuwa ni mimi ningejenga reli nyepesi au metro kati ya moshi na Arusha Via Kilimanjaro international airport.Chuga inahitaji BRT Angalau hata kuelekea uwanja unaojengwa utakaohost AFCON
View: https://www.youtube.com/watch?v=UFpcmefJE7w
nadhani Arusha yenyewe inahitaji uongozi serious! Maana kila siku tunaona ahadi tuu! Mara ujenzi wa kituo cha mabasi, mara Highway mpaka Moshi mara stadium ila hamna kinachofanyika! Ni migogoro tu! Jiulize babake Sabaya kushinda Uenyekiti wa CCM kunatoa dalili zipi? Kutumikia Arusha au kulinda maslahi?Chuga inahitaji BRT Angalau hata kuelekea uwanja unaojengwa utakaohost AFCON
View: https://www.youtube.com/watch?v=UFpcmefJE7w
wacha kuongea upuuzi hujui ubabaishaji wa Waturuki! Uchumi wao unaporomoka huko kwao! Ujenzi wa SGR unaenda kwa ku-raise certificates na huwa kuna utaratibu kati ya kampuni ya ujenzi na mabenki (guarantee) wanapopewa mikataba incase wanashindwa kutimiza majukumu kwakukosa fedha! Sasa using'ang'anie hawajalipwa! Kama hujui utaratibu wa tender ukoje nyamaza! SGR Makutupora-Tabora hawajafika hata 20% na walilipwa kianzio!Je tunauhakika gani kama serekali inawalipa wakandarasi kwa wakat??
Manake tusiongee vitu hatuna uhakika navyo na issue ya yapi markezi toka lot 1 and 2 kulikua na shida sana kwenye muda wa kumaliza mradi ambao ukifatilia kiundani utaona shida iko serekalini
Do you know the meaning of CBD? Is this CBD?Good 😂😂😂 then what is this.?👇View attachment 2864020
Kwendraaa 🤣🤣Do you know the meaning of CBD? Is this CBD?
Isingewezekana maana hapo apakuwa na eneo zuri la kuweka izo infrastructure Kuna milipuko na matetemeko ya mara Kwa mara ilo eneoPata picha zile infrastructure za international airport na mahoteli ya Chato yangekuwa hapa!
Kadanganye sukumagang wenzio! Kwa hiyo Chato around 100 km toka Geita ni salama kwa Earthquake kuliko kuliko Geita mjini?Isingewezekana maana hapo apakuwa na eneo zuri la kuweka izo infrastructure Kuna milipuko na matetemeko ya mara Kwa mara ilo eneo
Kingereza hujui, kiswahili hujui? What is your national language?Do you know the meaning of CBD? Is this CBD?
Kunyan wamelishwa tango pori wao ni special flan while they are not,huku wameingia wivu uganda na TZ juu yao kule wana wivu na somaliland na ethiopia,hawajui kabisa nyakati hizi kila mtu anatakiwa ashinde match zakeWakunya wakipiga njuru dhidi ya makubaliano ya nchi jirani yasiyowahusu!
Northern Kenya MPs oppose Ethiopia-Somaliland Red Sea access deal
MPs from Northern Kenya have warned that the pact will have a spillover effect on Kenya should a conflict ensue.www.theeastafrican.co.ke
Hapo co CBD, nchi za kifukara pekee ndio utakuta vitu vidogo vidogo kama hivyo vipo CBD, hapo ni ubungo sehemu ambayo itakuwa na mandhari ya kiulaya ulaya kuliko zote EA.Do you know the meaning of CBD? Is this CBD?
Wakenya aliyewadanganya mpo sawa na Tanzania aliwaongopea sana na aliwakosea sana wallahi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣