Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So you just seated somewhere in Dar is slum and decided that that road is substandard!!! Ooh poor bongolala πŸ˜‚

Desperation can't get better than this!!
 
So you just seated somewhere in Dar is slum and decided that that road is substandard!!! Ooh poor bongolala πŸ˜‚

Desperation can't get better than this!!
Umeifungua hiyo video ukaona what I'm talking about.? 🀣🀣🀣
 
Embu tupatie ship data inayo onyesha meli zilizokuja Lamu December 2023
 
Was LAPSSET anchored on Ethiopia's involvement alone? How about South Sudan?

Poor you Tweeter Warriors
Unataka Kusema mnataka kuserve South Sudan na Mradi wa $20Bil.

Uwiiiii *****.

Najua utajileta kusema Uganda. Tukuambie msahau Uganda kabisa, maana mambo ya Bandari now Uganda anajiweka TZ zaidi, EACOP, BULK PETROLEUM.

Unadhani hivyo vitu vitakua hivyo hivyo, hivyo vitaimarisha uhusiano wa kutumia Bandari, na Uganda Ipo more close na South Sudan kule Northern, maana nyie kunyans northern Kenya mmeitelekeza imejaa bandits. Insecurity
 
Nicxie hebu kua na adabu basi na msela mavi wako Teargas. Dawa ya TB ipo njiani inakuja kuwaponya maana kifua kimebana hadi mnatapatapa.

Na Bado, wazee wa Maonyesho now Dunia imechange.

Alafu mpo na viwanda vingi vya Dawa imekuaje?
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Ukweli unaujua kua hakuna konza wala mama yake konza

Alaf expressway ni mipango ya nchi kua nayo au kutokua nayo hata hvo expressway sio yenu ni mali ya mchina kwa over 30 good years na je jiulize baada ya miaka 30 itakua kwenye hali gani kwann mchina kapandisha gharama za tozo ???😁😁😁😁😁😁

Mchina ni kiboko πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1742132243131138557?t=yRp2D0ZVnrGo3RAUcJBmcw&s=19
 
Was LAPSSET anchored on Ethiopia's involvement alone? How about South Sudan?

Poor you Tweeter Warriors
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

South sudan kuna nn cha maaana??
Target kubwa ilikua ethiopia na yeye kawaacha kwenye mataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…