Kawasaidie Kibera unga, Our Entire village can feed your entire country. Na Our village ikigoma inaweza fanya muandamane.My salary can feed your entire village.
We si ndio hii Teargas anaisema humuWakunya walivyo manyumbu, watakwambia wao ndio wametengeneza
View: https://www.instagram.com/reel/C1Z81HJqW18/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==
Teargas kasema ana mshahara wa kulisha kijiji mwakilishi wa akili za Wakenya, anakwambia anatumia Bolt tu. Sasa hapo mnalilia nini Toll juu anatafuta shortcut.
Wakenya hadi leo wanaulizana makabila hadi exact data za walulya sijui wakikuyu ni wangapi wanazo
View: https://twitter.com/Stats_Kenya/status/1742233680741900681?s=19
mimi nimemuignore kabisa hana adabu uchawa umemtawala na ujinga.Huyo punguani anaharibu sana hili jukwaa kwa posts zake za kipumbavu.
Syria are happy than jordan and lebanon!🤔
Huwezi kuwa happy kama hujala na uko barabarani na sufuria kichwani 😁
Huwezi sema mtu anakosa dona anaweza kuwa happier than anaemlisha dona! That's bullshit!
Wale wapumbavu wangeng'aka devolution!Ofisi ya mkuu wa mkoa tabora
View attachment 2861080
Kwani lazma umjibu kaka!? Hata sie yale ma-Post yenu yana-bore!Huyo punguani anaharibu sana hili jukwaa kwa posts zake za kipumbavu.
Wakenya wapo wengi sana mkuu, kanchi kadogo wapo over 60m.Ukipiga hesabu hapo unapata confirmation ya mkulungwa wetu na ule msemo wake wa kupigana Mti kama kunguni 😂 wengi sana hawa .
Sie tuko ukanda wa cosafa,huko cecafa ni hao ccm tu wanafosi kwa sababu zao za kisiasaAFCON map cheki jinsi ukanda wetu unavyotia aibu.