Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio mkopo anatafuta lakini kaonesha ujasiri mkubwa wakutoa 3.16 billion usd cash kwa 712 km for phase one and two πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Tanzania itakutoa jasho kaka πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Huyo mwache haamini. Si unajua nyang'aus wanavyoichukia TZ.
 
Ndio mkopo anatafuta tena soft loan lakini kaonesha ujasiri mkubwa wakutoa 3.16 billion usd cash kwa 712 km for phase one and two πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Tanzania itakutoa jasho kaka πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
soft loan sio loan???????????????????????????????????
 
hakuna mtu anachukia tz huku ni nyinyi mnaogopa ukweli
Sisi hatukopi ovyo ovyo tunatafuta soft loan kama hakuna tunaachana nayo ndio maana mpaka sasa hvi hatujakopa pesa yoyote kwaajili ya SGR tumetoa cash from our pocket 3.16b usd for 712kmπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hakuna mtu anachukia tz huku ni nyinyi mnaogopa ukweli
Wewe huoni magazeti yenu yanavyofanya propaganda za kuichafua Tanzania. Huo ni ujinga. Kila kitu kikifanyika tanzania mnaweka kwenye magazeti yenu kuwa chenu mpaka mnadanganya UN.
 
Wewe huoni magazeti yenu yanavyofanya propaganda za kuichafua Tanzania. Huo ni ujinga. Kila kitu kikifanyika tanzania mnaweka kwenye magazeti yenu kuwa chenu mpaka mnadanganya UN.
Kipindi tanzania imegundua gas walienda kuwadanganya wazungu kua gas iko kenya wao wakitegemea uwakala sasa wazungu walipokuja kenya kuangalia hio gas wakakuta hakuna, kumbe nia yao wawe agents sasa wakagonga mwamba kwa tanzania πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Sisi hatukopi ovyo ovyo tunatafuta soft loan kama hakuna tunaachana nayo ndio maana mpaka sasa hvi hatujakopa pesa yoyote kwaajili ya SGR tumetoa cash from our pocket 3.16b usd for 712kmπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
loan kuna limit kama hauna assets za kutosha inabidi utafute soft loan
 
loan kuna limit kama hauna assets za kutosha inabidi utafute soft loan
Aliekwambia nani??? We unafkiri nchi gani inapenda kukopa kwa interest kubwa tumia tu akiliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Au vile wachina wamewanyoosha unataka na sisi tuwe hvo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…