REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,668
- 11,674
wale wa nyota ya JPM muda ndo huu ku-test their loyality!
Ni kweli CCM ina utaratibu na haitakuwa sahihi kuvuruga utaratibu huu wa kuto mchallenge incumbent president kwakua ita set a danderous precedent chamani. However, huyu hakuwa na awamu yeyote, alikuwa akitimiza matakwa tu ya kikatiba ya nchi ambapo kama tungelikuwa na katiba bora, angesimama kama interim president wakati nchi na vyama vya siasa vikijiandaa na uchaguzi wa rais.Porojo za kujifariji tuu zile hamna kitu hapo.
Wenye Chana wameshaamua nani huyo wa kujaribu kunyanyua pua Kwa Samia? Na Kwa sababu zipi za msingi? Kuna Rais ametekeleza Ilani Kwa Ukubwa kumzidi Samia?
View: https://twitter.com/UhondoTV/status/1742244882020720740?t=T8DTTeQlfJ81boks-89ZQw&s=19
Fomu ni 1 tuu na utaratibu huu kama kawaida ulianzishwa na Mwenyekiti Magufuli tuunge mkono 😆😆😆😆😆
Common sense must be common here.Hili suala la foleni ya meli kwenda bandarini limewastua sana wakundustan, yaani wamerekodi wenyewe, Wametumiana huko mitandaoni halafu nchi ikachafuka,
Ni kama moshi ukipuliziwa kwenye pango la panya, wanatoka huko mmoja mmoja huku wakiwa wamechanganyikiwa. Kuanzia raia wa kawaida hadi Wanasiasa wao.
Na huu ni mwanzo tu, njooni mrekodi bwawa la Nyerere kisha mtumiane huko mkichafue, bado Miradi ya BRT, SGR, Viwanja vya ndege Dodoma , barabara , Viwanja vya mpira wa miguu, bomba la mafuta ghagi, LNG mradi wa b42$ (50% ya uchumi wa kundustan), viwanja vya ndege nk ..kujeni mrekodi mtumiane clip
Hakuna haja ya ushauri huu wa kinyang'au. Nyie endeleeni kufyonzwa na Kipchirchir & co😎😁...Jengeni more berths ,izo 11 mko nayo ni kidogo sanaaaa.
Hili li Chama linapaswa lipumzike sasa tumechoka na upumbavu wake........enough is enoughWazee wameshasema 2025 fomu ni Moja tuu,wanaotaka Urais waende kwenye Vyama vingine 🔥🔥
View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1742239131281801468?t=3LG0PeFvlT1Yx4qqU6lhAQ&s=19
Twende na Lichama gani Sasa mbona husemi? Au Lile la walamba asali la Sultan Mbowe? 🤣🤣🤣🤣Hili li Chama linapaswa lipumzike sasa tumechoka na upumbavu wake........enough is enough
Hizo hekima peleka Chato.Ni kweli CCM ina utaratibu na haitakuwa sahihi kuvuruga utaratibu huu wa kuto mchallenge incumbent president kwakua ita set a danderous precedent chamani. However, huyu hakuwa na awamu yeyote, alikuwa akitimiza matakwa tu ya kikatiba ya nchi ambapo kama tungelikuwa na katiba bora, angesimama kama interim president wakati nchi na vyama vya siasa vikijiandaa na uchaguzi wa rais.
Hivyo basi, hekima ni kuruhusu uchaguzi wa rais ndani ya chama kwa sababu kuu nyingi za msingi.
1. Samia hakuwa rais aliyechaguliwa na wananchi
2. Samia hakuwa chaguo la Magufuli kama makamu wa rais
3. Samia ni zao la Msoga gang kwaajili ya matakwa ya mtandao wa kifisadi.
Chama chochote kinafaa ata CHAUMA kinafaa sana........tunahitajia mawazo mbadala ya kuongoza hili taifa,sio mawazo yale yale ya "zidumu fikra za Mwalimu,zidumu fikra za Nyerere"Twende na Lichama gani Sasa mbona husemi? Au Lile la walamba asali la Sultan Mbowe? 🤣🤣🤣🤣
Nenda jukwaa la siasa kaanzishe mada tutakuja kukupa dozi huko hukoChama chochote kinafaa ata CHAUMA kinafaa sana........tunahitajia mawazo mbadala ya kuongoza hili taifa,sio mawazo yale yale ya "zidumu fikra za Mwalimu,zidumu fikra za Nyerere"
Tupo Karne nyingine ambayo Wananchi wanahitaji kiongozi anayeweza akasimama yeye kama yeye na Taifa likasonga mbele
Mzee Kinana, bado Ana mambo yale yale ya kizamani na ya kishamba sana,wameona Bi'kidude hana maajabu hivyo wanataka wampe kamserereko
Kama ulijua Kuna Jukwaa la siasa kwanini uliweka bandiko lako hapa kwenye jukwaa lisilo paswa kuwa na mambo ya siasa??? halafu wandewa tukitoa mawazo mbadala unaanza kujikanyagaNenda jukwaa la siasa kaanzishe mada tutakuja kukupa dozi huko huko
Huku Huwa tunaweka vidokezo,ikiwa mjadala tunahamia kuleKama ulijua Kuna Jukwaa la siasa kwanini uliweka bandiko lako hapa kwenye jukwaa lisilo paswa kuwa na mambo ya siasa??? halafu wandewa tukitoa mawazo mbadala unaanza kujikanyaga
Watu wa CCM uwa mna akili ndogo sana,ndio maana hii nchi tunaonekana Kama wabongo wote tuna akili za matope,kumbe ni kwa sababu ya watu wachache Kama wewe (chawa)
Achana ata na vidokezo havina maana,hapa tunaweka mambo ya maana yanayobeba Maslahi ya taifa ili kuwanyoosha wakenyaHuku Huwa tunaweka vidokezo,ikiwa mjadala tunahamia kule
Uyu mwimbaji awe rais kenya maana anapendwa sana kuliko nabii
Iki kipindi mkenya akiangalia atakonda ghafla
Wivu
Unazingua manHuku Huwa tunaweka vidokezo,ikiwa mjadala tunahamia kule
Jukwaa la siasa lipo lakini haendi!Kama ulijua Kuna Jukwaa la siasa kwanini uliweka bandiko lako hapa kwenye jukwaa lisilo paswa kuwa na mambo ya siasa??? halafu wandewa tukitoa mawazo mbadala unaanza kujikanyaga
Watu wa CCM uwa mna akili ndogo sana,ndio maana hii nchi tunaonekana Kama wabongo wote tuna akili za matope,kumbe ni kwa sababu ya watu wachache Kama wewe (chawa)
📌📌🔨 Unaumia upande upi bwana Suku gang?Jukwaa la siasa lipo lakini haendi!
Kazi ni kucopy kila link ya post anayokutana nayo X hata kama haihusiani na humu.