Yeah, congestion from tugboats and pilot boats.Mnajizima data eeh, mnadhani sisi mafala? Sawa wapelekee media zenu hizo data, zilizosema Mombasa benefits from Dar Port ship congestion.
Si umeziita zetu Empty na Tug boats
Mshauri ndugu yako Aje aweke fleet huku kwa kutumia Built in Kenya for Kenyans. Aweke Root yoyote ile.This is Buscar baboon. That's a bus operating in Kenya.
Zimekuaje mnufaike nazo? ππYeah, congestion from tugboats and pilot boats.
Wapimwe akiliSikujua kuna comedy humu kutoka kwa wakenya na wanaifanya wakiwa serious, unaambiwa wao wanaingiza mzigo tu Mombasa port.
Unaambiwa RWANDA, BURUNDI, DRC, ZIMBABWE, ZAMBIA, MALAWI, UGANDA wanatumia Dar Port kuleta Tug boats na Meli empty na Meli zinapanga foleni zikiwa empty na Tug Boats.
Na unaambiwa hizo Tug boats na Meli empty zikiona foleni kubwa zinaenda Mombasa mara paap zinageuka kuwa Cargo na si Tug boats wala Empty ship πππππ
Teargas huree, ππππ
we kichaa baada ya kuona mambo ya port yanakushunda unakimbilia media uchwaras zenu whoHuwa mnashindwa kulipa hadi msameheweππ
View attachment 2858502
Mjipeleke huko kwanza.
View attachment 2858506
Huyo ni empty head matokeo ya kukosa ugaliTeargas πππ. Kwamba meli isiyo na mzigo itapanga foleni?
Acha kubadili mada wewe ni dogo ukikosa cha kusema uwe unakaa kimya kichwa maji.....Export to Tanzania
View attachment 2858515
December mwaka gani hii?I deal with facts.
View attachment 2858490
for real maana jamaa ni empty points with canopy π€£ π€£ π€£ π π π πHuyo ni empty head matokeo ya kukosa ugali
Embu kwanza watupe Fitch and Moody rating yao ndio tujue wanakopesheka au hapana.Mbona unanileza vitu haviekeweki, nimekwambia always anakopeshwa anaekopesheka (anaeweza kulipa) and vise versa is true) .. nyie ni maskini na ndio maana hamkopeshwi kwasababu hamuna uwezo wa kulipa. ππ€£π€£
Hawa nyang'au akina Teargas hata uwapige makwenzi vipi bado wanajifanya hawasikii; lakini watasikia tuπππ€£π€£π€£π€£ Are you crazy or something.? π€£π€£π€£ Haya tueleze meli zinazosubiri huduma DAR port for like 16 days ni zipi mzee according to you.? πππ Mana meli zote zinakuja na mzigo mdogo na ni chache.. heb tueleze mzee
I deal with facts.
View attachment 2858490
π€£π€£π€£π€£ Are you crazy or something.? π€£π€£π€£ Haya tueleze meli zinazosubiri huduma DAR port for like 16 days ni zipi mzee according to you.? πππ Mana meli zote zinakuja na mzigo mdogo na ni chache.. heb tueleze mzee