Remember Kenya hatujaoshindwa kulipa deni hadi tukasemehewa kama Tanzania.Wewe mpumbavu anakopeshwa pesa nyingi anaeweza kulipa and vise versa is true. 😂😂😂 Sisi sio level yenu kima wewe
😂😂😂😂 Usife kwa wivu mpumbavu wewe. Hii video inaonyesha berths zote 11 zinatoa huduma at the same time kuna meli nyingi tu kule zibasubiri. 👇Ni the remaining 8 ships with cargo. Ni nini ngumu hapo kuelewa.
Mbona unanileza vitu haviekeweki, nimekwambia always anakopeshwa anaekopesheka (anaeweza kulipa) and vise versa is true) .. nyie ni maskini na ndio maana hamkopeshwi kwasababu hamuna uwezo wa kulipa. 👇🤣🤣Remember Kenya hatujaoshindwa kulipa deni hadi tukasemehewa kama Tanzania.
Kama kawa DLE kila siku.They can't resist the allure of beauty of Kenyan buses.
View attachment 2858491
From this video I only see three ships at the berth and one being towed. Total are four cargo ships.😂😂😂😂 Usife kwa wivu mpumbavu wewe. Hii video inaonyesha berths zote 11 zinatoa huduma at the same time kuna meli nyingi tu kule zibasubiri. 👇
View: https://www.instagram.com/reel/C1fYW_jr-wv/?igsh=MzRlODBiNWFlZA==. In Africa seeing is believing we mpuuzi. 😂😂😂 Toka na hii tena.
This is Buscar baboon. That's a bus operating in Kenya.Kama kawa DLE kila siku.
Nikurahishie ku screen shot labda huna bundle .? 🤣🤣🤣From this video I only see three ships at the berth and one being towed. Total are four cargo ships.
Nyinyi ndio hamna uwezo and that's why your planes are confiscated left, right and center.Mbona unanileza vitu haviekeweki, nimekwambia always anakopeshwa anaekopesheka (anaeweza kulipa) and vise versa is true) .. nyie ni maskini na ndio maana hamkopeshwi kwasababu hamuna uwezo wa kulipa. 👇🤣🤣
Umezoea kutumia bundles unadhani kila mtu anatumia bundles. Upgrade.Nikurahishie ku screen shot labda huna bundle .? 🤣🤣🤣
I deal with facts.Sikujua kuna comedy humu kutoka kwa wakenya na wanaifanya wakiwa serious, unaambiwa wao wanaingiza mzigo tu Mombasa port.
Unaambiwa RWANDA, BURUNDI, DRC, ZIMBABWE, ZAMBIA, MALAWI, UGANDA wanatumia Dar Port kuleta Tug boats na Meli empty na Meli zinapanga foleni zikiwa empty na Tug Boats.
Na unaambiwa hizo Tug boats na Meli empty zikiona foleni kubwa zinaenda Mombasa mara paap zinageuka kuwa Cargo na si Tug boats wala Empty ship 😂😂😂😂😂
Teargas huree, 😂😂😂😂
Unataka kunikimbia.? 🤣🤣 We mbwa anakopeshwa anaeweza kulipa tu otherwise kaa kimyaNyinyi ndio hamna uwezo and that's why your planes are confiscated left, right and center.
Kuna kunyan zinacomment utumbo na chuki huko balaaTulikataa kufanya kazi na wanafiki.
View: https://x.com/chroniclesrw/status/1741131678167228573?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Unataka kunikimbia.? 🤣🤣 We mbwa anakopeshwa anaeweza kulipa tu otherwise kaa kimya
Umeona empty ships hapa? Umeona tugboats hapa? Umeona pilot boats hapa?Alafu unaambiwa meli empty as if wao hawana empty zinazokuja, alafu wanakuja kukaza mishipa eti exports ipo juu yetu.
What if kuna mizigo zinatata 🤔
Jana tu kulikua na mzigo wa malori wa Copper kutoka DRC walizinguana na TANROADS.
Na hii wakishindwa tunaambiwa Shanghai haipangi foleni, as if Mombasa iko level moja na Shanghai.
Wapi Shanghai ilikosa meli wiki nzima?
Hizi zote hazikupi nafuu yoyote mzee, ukweli utabaki palepale, "anakopeshwa anaeweza kulipa tu" kwahyo kalilie Tweeter 🤣🤣🤣
Mnajizima data eeh, mnadhani sisi mafala? Sawa wapelekee media zenu hizo data, zilizosema Mombasa benefits from Dar Port ship congestion.Umeona empty ships hapa? Umeona tugboats hapa? Umeona pilot boats hapa?
Look at the size of cargo they are carrying.
View attachment 2858500
Huwa mnashindwa kulipa hadi msamehewe😂😂Hizi zote hazikupi nafuu yoyote mzee, ukweli utabaki palepale, "anakopeshwa anaeweza kulipa tu" kwahyo kalilie Tweeter 🤣🤣🤣