Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,149
- 107,714
Nikufuatilie kwa upeo upi ulionao? Wa kujifananisha na China? Kwa doctrine ipi tuliwahi kuwa nayo? philosophers wetu wako wapi?Najua Historia vyema na how walivyofinance mradi wa Tazara na ni kweli China back then walikuwa na njaa but still, they were far much better than us, sisi ambao tulikuwa na mainjiania wawili tu na madaktari 12 to a point kwamba, manesi zaidi ya 20 walitolewa kisiri Africa ya Kusini kuja kupiga tafu baada ya manesi wa Kizungu kusepa kwa madai hawawezi ishi kwenye nchi inaongozwa na mtu mweusi. Fuatilia page yangu ya twitter kuhusu mambo haya na mengine, siropoki naongea nikiwa naushahidi. They were poor but far much better than us na sisi tulijitoa mno na ndio jambo lilipeleka kuwa na uchumi tulionao leo. Kauli hii ya Ramaphosa sio ya kwanza, ni ya tatu.
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1295164182053126144?s=20
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1731674083937407171?s=20
Sio ya kibaguzi ndio ukweli wenyewe!!!Maneno kama "huyu Msomali", ni ya kibaguzi.
Waarabu wana ubaguzi mwingi sana!!! Maana ake hapo ni kwamba hawahitaji vidume vyenye nguvu za kiume kutoka Africa,wakawakaze mabinti zaoKwa nini wanawake tuu?
Hivi huoni aibu kuuliza swali kama hili wewe nyang'au?๐What are you building that Kenya has never build before?
Hii picha ni edited mzee wangu......Aliyefanya edition ya hii picha ni Mtanzania mwenzetu anaitwa Rasheed Abdulrahman Mazinge,na amefanya akiwa na vijana wenzie wakiislam Mombasa Kenya.Kile kinachoitwa Kusomea Kilimo huko Israel ni danganya toto ila Kuna mengi zaidi wanafanya.
Haya wale mliokuwa mnadai Hammas wamemuua kimakosa mnaitwa huku mtoe ushahidi
View attachment 2848106Mtanzania aliyeuawa na Hamas alikuwa sehemu ya jeshi la Israel? Serikali itoe tamko Watanzania wangapi wameingizwa kwenye jeshi la Israel
Picha tafakuri - sehemu ya wanajeshi wa Israel wakiombeoeza msiba wa mwenzao- tazama kwa umakini rangi za wanajeshi husika. Kumekua na hamaki na sitofahamu nyingi sana baada ya clip ya mauaji ya Mtanzania anaefahamika kama Molel kusambaa mitandaoni. Katika clip husika,wauaji mwanzoni...www.jamiiforums.com
Mimi sikufananisha Tanzania na China, but what I said ni kuwa, tungekuwqa mbali kiuchumi na viwanda vyetu vingi vilivyokufa vingekuwa mbali kwa sasa, thats all - which is true.Nikufuatilie kwa upeo upi ulionao? Wa kujifananisha na China? Kwa doctrine ipi tuliwahi kuwa nayo? philosophers wetu wako wapi?
Ondoa ujinga wako hapa wewe terrorist sympathiser.Kile kinachoitwa Kusomea Kilimo huko Israel ni danganya toto ila Kuna mengi zaidi wanafanya.
Haya wale mliokuwa mnadai Hammas wamemuua kimakosa mnaitwa huku mtoe ushahidi
View attachment 2848106Mtanzania aliyeuawa na Hamas alikuwa sehemu ya jeshi la Israel? Serikali itoe tamko Watanzania wangapi wameingizwa kwenye jeshi la Israel
Picha tafakuri - sehemu ya wanajeshi wa Israel wakiombeoeza msiba wa mwenzao- tazama kwa umakini rangi za wanajeshi husika. Kumekua na hamaki na sitofahamu nyingi sana baada ya clip ya mauaji ya Mtanzania anaefahamika kama Molel kusambaa mitandaoni. Katika clip husika,wauaji mwanzoni...www.jamiiforums.com
Pia, kule Zanzibar walikuwa hawataki mabinti zao waolewe na wamatumbi, ndo za lazima zilifianyika huko kipindi cha Karume kiasi cha uarabu kuisha huko viziwani.Waarabu wana ubaguzi mwingi sana!!! Maana ake hapo ni kwamba hawahitaji vidume vyenye nguvu za kiume kutoka Africa,wakawakaze mabinti zao
Ukifuatilia ni kwanini Uarabuni hakuna ngozi nyeusi na wakati wao ndio walichukua Watumwa wengi kutoka Africa kuliko ata Wazungu,sababu ni kuwa waliwakata Uume Waafrika ili wasiweze kuwapanda mabinti zao.
Waarabu ni aina ya kizazi ambacho kinatudharau sana sisi watu website........wapigwe vita
HayaMimi sikufananisha Tanzania na China, but what I said ni kuwa, tungekuwqa mbali kiuchumi na viwanda vyetu vingi vilivyokufa vingekuwa mbali kwa sasa, thats all - which is true.
Hawa ni watu wawili tofauti bana, huyu mwanajeshi sura yake ni ya umbo la V.Kile kinachoitwa Kusomea Kilimo huko Israel ni danganya toto ila Kuna mengi zaidi wanafanya.
Haya wale mliokuwa mnadai Hammas wamemuua kimakosa mnaitwa huku mtoe ushahidi
View attachment 2848106Mtanzania aliyeuawa na Hamas alikuwa sehemu ya jeshi la Israel? Serikali itoe tamko Watanzania wangapi wameingizwa kwenye jeshi la Israel
Picha tafakuri - sehemu ya wanajeshi wa Israel wakiombeoeza msiba wa mwenzao- tazama kwa umakini rangi za wanajeshi husika. Kumekua na hamaki na sitofahamu nyingi sana baada ya clip ya mauaji ya Mtanzania anaefahamika kama Molel kusambaa mitandaoni. Katika clip husika,wauaji mwanzoni...www.jamiiforums.com
kama isingekuwa harakati za ukombozi wa Nyerere leo hii tusingekuwa hapa tulipo. Walowezi na Makaburu wangetufuata hadi kwetu, (BTW walitaka kulipua Selander bridge). Walishaikamata Zimbabwe na Namibia na walishajaribu coup kule Seychelles, tukaizima. Kumbuka, Kenya walikuwa ni vibaraka wao, aisee acha tuu, wasingeishia hapo, hasa ukizingatia walikuwa na back up ya wakubwa.Wanapiga sana kazi hawa wana. Na sisi tungekuwa huku kama sio Nyerere kujichanganya na karata za Ukombozi wa Africa. Viwanda vyetu vya kielectronik vya National leo tungekuwa tunafyatua Redio, Flat Screens, Simu, na mengine mengi.
Umewajuaje walio edit, maana hpo umetaja majina ya watu.Hii picha ni edited mzee wangu......Aliyefanya edition ya hii picha ni Mtanzania mwenzetu anaitwa Rasheed Abdulrahman Mazinge,na amefanya akiwa na vijana wenzie wakiislam Mombasa Kenya.
Ukiangalia kwa umakini kichwa hakiendani na kiwili wili cha mwili
Mikono ya huyo jamaa ni Kizungu na wakati kijana Joshua alikuwa ni Kijana wa kimasai mweusi
Muhusika wa hii picha anaitwa Youhannes Yuval Volgulya,mwenyeji wa New York ila kwa sasa amerudi Tel Aviv nyumbani kwa mababu zake
Kijana wetu kauawa na Waarabu,hatuna budi kuungana na Wayahudi ili tukiangamize kizazi cha kipalestina,tuwaambie kuwa Mbongo mmoja ana thamani Sawa na Waarabu 10000
Siku nyingine usikurupuke kuzungumza jambo kama huna ushahidi