ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,464
- 89,882
Huyo mtu wako ni Bora akisimamiwa sio kusimama kama yeye,hakufaa kuwa Rais ana mihemko,anakurupuka mpenda sifa,katili na very arrogant na angeingia awamu ya pili angeleta disaster Nchini.Magufuli ni Raisi bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania hata wewe mwenyewe moyoni unajua hilo na quotes zako nnazo ukipinga nitag nikuletee, ulitoa ushauri fulani hivi kwenye uzi wako na Magu akaufanyia kazi, wewe unamkubali sn Magu sema maisha ya kiafrika yanajulikana bila unafki tonge litaingia kwa tabu kinywani, Bashe pia ni mfuasi wa Magu na aliwekwa serikalini kwa mara ya kwanza na Magu huyo huyo, hii ni kutokana na ukweli kwamba Magu hakubagua, ukiwa genius hata kama unampinga anakupa kitengo, kama Bashe alikuwa anakosoa sn serikali ila Magufuli akaona ana point zen akampa kitengo. Ni ngumu sana kumtofautisha Magu na Tanzania mpya, ni ngumu mno hata wewe unajua.
Maneno kama "huyu Msomali", ni ya kibaguzi.Huyu Msomali Anapiga kazi sana na hana uchawa kama wale viongozi wengine wa CCM.
Anapaswa aiongoze hii nchi ila bahati mbaya hayupo kwenye ule mkeka wa "WATEULE"
Ila anapaswa atuambie ni kwanini Hamas wamemuua kijana wetu Joshua
Mimi sifahamuKwa nini wanawake tuu?
we ushaona tunaweka picha ama tumehamia kwenye miradi leteni miradi acheni utoto.KimsTv Media Look at the pictures of Nairobi CBD courtesy of KimsTv
View attachment 2848238View attachment 2848242View attachment 2848239
View attachment 2848243
Kila mara nakukumbusha kuhusu upumbavu wako. Mnaleta ujinga kwenye maisha ya wengine. Nyie wengi wenu ni wapumbavu sana, mmeshindwa hata kujua Kidiplomasia Israel-Tanzania hazijakaa vizuri.Kile kinachoitwa Kusomea Kilimo huko Israel ni danganya toto ila Kuna mengi zaidi wanafanya.
Haya wale mliokuwa mnadai Hammas wamemuua kimakosa mnaitwa huku mtoe ushahidi
View attachment 2848106Mtanzania aliyeuawa na Hamas alikuwa sehemu ya jeshi la Israel? Serikali itoe tamko Watanzania wangapi wameingizwa kwenye jeshi la Israel
Picha tafakuri - sehemu ya wanajeshi wa Israel wakiombeoeza msiba wa mwenzao- tazama kwa umakini rangi za wanajeshi husika. Kumekua na hamaki na sitofahamu nyingi sana baada ya clip ya mauaji ya Mtanzania anaefahamika kama Molel kusambaa mitandaoni. Katika clip husika,wauaji mwanzoni...www.jamiiforums.com
Inasikitisha Apumzike kwa Amani!Kila mara nakukumbusha kuhusu upumbavu wako. Mnaleta ujinga kwenye maisha ya wengine. Nyie wengi wenu ni wapumbavu sana, mmeshindwa hata kujua Kidiplomasia Israel-Tanzania hazijakaa vizuri.
Mnaanza kusambaza narratives na picha kwa kujastifai mauaji ya kinyama aliyofanyiwa Mtanzania kwa sababu waliofanya ni Miungu yenu?
Joshua hata kwa karibu hafanani na hizo picha.
View attachment 2848266
View attachment 2848274
View: https://x.com/KipepeComrade/status/1737404278996619285?s=20
Wanapiga sana kazi hawa wana. Na sisi tungekuwa huku kama sio Nyerere kujichanganya na karata za Ukombozi wa Africa. Viwanda vyetu vya kielectronik vya National leo tungekuwa tunafyatua Redio, Flat Screens, Simu, na mengine mengi.
What are you building that Kenya has never build before?we ushaona tunaweka picha ama tumehamia kwenye miradi leteni miradi acheni utoto.
Hapa sasa ndo huanza kujichanganya! China ime-support pia ukombozi wa Africa ukiacha Vietnam na sehemu mbalimbali na wapo hapo walipo!Wanapiga sana kazi hawa wana. Na sisi tungekuwa huku kama sio Nyerere kujichanganya na karata za Ukombozi wa Africa. Viwanda vyetu vya kielectronik vya National leo tungekuwa tunafyatua Redio, Flat Screens, Simu, na mengine mengi.
What a dumb post. Put aside the complete lack of logic, the guy in the picture doesn't even look like him at all. LOL! this is so dumb. Wow!Kile kinachoitwa Kusomea Kilimo huko Israel ni danganya toto ila Kuna mengi zaidi wanafanya.
Haya wale mliokuwa mnadai Hammas wamemuua kimakosa mnaitwa huku mtoe ushahidi
View attachment 2848106Mtanzania aliyeuawa na Hamas alikuwa sehemu ya jeshi la Israel? Serikali itoe tamko Watanzania wangapi wameingizwa kwenye jeshi la Israel
Picha tafakuri - sehemu ya wanajeshi wa Israel wakiombeoeza msiba wa mwenzao- tazama kwa umakini rangi za wanajeshi husika. Kumekua na hamaki na sitofahamu nyingi sana baada ya clip ya mauaji ya Mtanzania anaefahamika kama Molel kusambaa mitandaoni. Katika clip husika,wauaji mwanzoni...www.jamiiforums.com
Hebu jirekebishe wewe nyang'au😎What are you building that Kenya has never build before?