muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,854
Upumbavu wako utakupeleka pabaya wewe! Usifikiri hizi comment zako hatuzioniSio tu eneo la Waislam hata eneo lisilo la Waislam, jamaa ni shida. Kwenye maeneo yao hawataki kuona Kanisa na wanavunja na hata maeneo ya Wakristo pia wameanza kuleta shida.
View: https://x.com/AbroadTanzania/status/1736684914014330928?s=20
Ukweli sio upumbavu. Ni mpumbavu tu mwenye chuki na ukweli na wengi walio nena ama kushuhudia ukweli mabaya yamewakuta.Upumbavu wako utakupeleka pabaya wewe! Usifikiri hizi comment zako hatuzioni
Hao Wanaenda Kuajiriwa rasmi na Serikali ya Saudia.Hawaendi kama wadada wa kazi ambao walikuwa wanaenda kienyeji enyeji.Huu upumbavu wa Watanzania kuelekea Saudi Arabia ulipigwa marufuku kipindi cha Magufuli kwa sababu za ukatili Waarabu huwafanyia watu wesui huko.
Wewe ni mpumbavu,Rudi soma Uzi uelewa,kama hutaki kuelewa unalazimisha unachotaka kusikia ni hivi hata wewe ungefumwa huko vitani ingetekwa na ungetumiwa kama chambo even being brutally killed kama hao madogo.Wewe sijui kichwa chako kikoje!
Dogo hakuwa vitani sawa. Alikuwa anatoka zake shambani kulelekea home na baiskeli yake na alitekwa na kundi la watu wenye silaha kama vile wanavyotekwa Wakenya nchini kwao na Al Shabab. Kenya ni vitani?
Kijana asiye na hatia ni victim wa ugaidi, na tumewasikia Magaidi wakisema "Alah Akbar" wakimchoma visu na kumpiga risasi.
Sio kwa sababu wewe ni muislam basi ulete visababu vya kujastifai mauaji.
Ule ni ugaidi.
1. Tupe hapa descriptions za hizo kazi.1. Hao Wanaenda Kuajiriwa rasmi na Serikali ya Saudia.Hawaendi kama wadada wa kazi ambao walikuwa wanaenda kienyeji enyeji.
2. Mwisho who is Magufuli by the way? Ndio maana Serikali is doing in opposite way Kwa sababu hatuongizwi na utashi wa mtu binafsi.
Wewe kama ni poyoyo umeshikiwa akili nae do it.
ποΈποΈποΈ Mda wa kujibu ujinga Sina ,ingia kwenye tovuti zilizoainishwa utapata unachokitaka.1. Tupe hapa descriptions za hizo kazi.
2. Magufuli ni one of the two best presidents in Tanzania and one of the best in the world.
3. Kanisa katoliki wa mlengwa wa shirika hawana utaratibu wa kuchukua mapoyoyo ama vilaza kwenye seminari zake. Mimi ni former missionary of St Francis de Sales, Kihonda, Morogoro na Lububu, Tabora. π
Kumbe ukubwa wa eneo la nchi ni kigezo kikubwa kwenye economic and political comparisons sasa mbona tukiwaambia Dar ni Nairobi 3 wanakaza fuvu?Hii failed state hawanaga hekima hata kidogo, kazi ni kukwaruzana na nchi zingine.
Yaani hata siku mbili hazijapita wakwaruzane na DRC tayari wameanzisha lingine!
Heri mama huwa yeye anatumia neno majirani, atakaye jishtukia atajua yeye πππ
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1736826700506214725?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Kuhusu Wakristo na Waislam kuishi pamoja si kweli.
Nisiliweke hili swala kidini, Ila hakuna Mtu asiye Muislam anayeweza kuishi kwa Amani eneo la Waislam wenye itikadi kali na waofata sharia
Yan hao pumbavu unaweza kukuta mkikuyu anaishi kibera halafu mluhya anaishi nyeri lakini bado mkikuyu wa kibera akajiona yeye ni bora na anamzidi kila kitu mluhya,vichwa vyao vimejaa funza,uhuru alijitahidi sana kubalance ukabila ila ruto ngoma kairudisha kama kipindi cha moi hukoHawana hata chembe ya hekima.
Ndio maana The best 007 anasemaga hata slum dweller ana ndoto za kuwa rais. πππ