Acha ujinga ukubwa wa meli huwa measured na displacement. Wewe angalia kati hizo meli ipi ina displacement kubwa utapata jibu.Size is measured in different ways, height, Length, weight, etc. MV Uhuru 2 is bigger than MV Mwanza in all those parameters.
Kange sio KengeKenge modern bus terminal tanga
View attachment 2844482
Ngoma ya watoto haikeshi 🤣🤣🤣Wakenya wamekata tamaa wakat ndio kwanza watz tuna warm up.. hata joka hawajaliona wala JNHP, Brt phase3 & 4 bado, Dodoma bado, Double decker hazijaanza kaz, Eacop bado. Dah mapema sana wameishiwa punzi.
Kwa siku 3 mfululizo KQ wamekuwa wakitoa taarifa tofauti tofauti ilianza na staff shortage, kesho yake wakasema spares shortage keshokutwa wakasena tumesha resolve tatizo la spare, siku iliyofuata emergency landing.Na hiyo ilikuwa ni tatizo la engine kwenye A220 karibia zote kwenye nchi mbalimbali na watengenezaji walishahuri zipakiwe kwanza kwa ajili ya marekebisho.
Maana naona anatafuta pa kutokea. 😂😂😂
Nye nye nye🤣🤣🤣
Mjikubali mlivyo bongolalasView attachment 2844068
Sasa wanatua vipi bila tairi 🤣🤣🤣Mm sijui kwnn mavitu ya Kenya hasa ndege nayaogopa sn, wakenya ni wababaishaji sn hata maintenance hawafanyi, siwezi ku risk maisha yangu kupanda kq.
😂😂😂 Vice anawafokea, hakuna kurudi nyumbani.
Katika makosa mtu hutakiwi kufanya ni kupanda flying coffin inayoitwa KQ, utanishukuru baadae.Sasa wanatua vipi bila tairi 🤣🤣🤣
Hawa wamezidisha jua kali maintenance 😁
Huyu waziri kweli au chale uyu? Barabara 2km unaenda public kweli? Matumizi mabaya ya ofisi haya, kwa hapa tulipofika vitu vidogovidogo kama hivi sio story huku kwetu, hatoshi chale uyu.
Kwanza anagali vumbi bin matope ilivyo taradad😁😁😁😁😁 alaf wanaandika kabisa international stadiumIna maana hawa nyangau International stadium zao wanajenga kijuakali bila drainage chini ya pitch 🤣🤣🤣🤣
Kwahyo wew kweny kichwa chako height na weight ya Mv uhuru inazid Mv mwanza?
Hoteli gani na mnakunia msituni?Picha za hotel humu zimewekwa sana tena nyingi na kali mara10 ya ulichopost, Either unadata au unajitoa ufahamu😄
Hujaona Daraja hapo?Huyu waziri kweli au chale uyu? Barabara 2km unaenda public kweli? Matumizi mabaya ya ofisi haya, kwa hapa tulipofika vitu vidogovidogo kama hivi sio story huku kwetu, hatoshi chale uyu.
Hii ni mwaka Gani mkuu, hii imepigwa marufuku mbona.? And guess what hata kabla tabia hiyo haijapigwa marufuku, still njiani kulikua na hotel nyingi zenye watu hushuka kupata misosi.Hoteli gani na mnakunia msituni?
View attachment 2844778