Niliwauliza wakenya GDP ya nchi yao inaweza miradi ya zaidi ya dollar za kimarekani billion 10 kwa pamoja?
Nakumbuka walivyoona hii render πMr Canopy Teargas njoo uone canopy ilivyotokea
View: https://youtu.be/7g8eC9wDIuc?si=_HLRzTaJkmrgHYOG
Stations zetu zina akisi mazingira husika ila za wenzetu zina akisi mazingira ya Shaolin temples π€£π€£π€£Nakumbuka walivyoona hii render πView attachment 2842992na kipindi kituo kinaanza ujenzi, walisema hatutoweza kujenga kitu kama hicho. Kumbe Tz hatujawahi kukosea ..
Huu ni udhalilishaji sasa dah eti regular power cuts unatoa travel advisory π€£π€£π€£π€£Hii nchi imeshakua kituko hakuna taifa linalojielewa linataka ukaribu nao
View: https://twitter.com/citizentvkenya/status/1734992838213943798?t=bvablNQXU13pr0qV6mIM9A&s=19
We nawe huishi kwenye ndoto!?Magari ya kindezi hayo hata ma DC au wakurugenzi hawawezi tumia huku Tz
watuletee Firetrucks kila halmashauri ipate angalau moja, mji 2, jiji 5!Hivi Kuna idara Haina vitendea kazi Kwa Sasa?
View: https://www.instagram.com/p/C0wOCTGNqmC/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
Huo ndio ukweli na hali halisi iliyopo huku ulitaka niseme uongo?We nawe huishi kwenye ndoto!?
Waliwaambia canopy mkapinga sasa hii nini!?Mr Canopy Teargas njoo uone canopy ilivyotokea... π π π π π π π
View: https://youtu.be/7g8eC9wDIuc?si=_HLRzTaJkmrgHYOG
Hii hapana yaani tutakuja kupigana miti sana kama hawa northerners π
Canopy iko JKIA π€£π€£π€£Waliwaambia canopy mkapinga sasa hii nini!?
View attachment 2843010
Kiingereza kinakupiga chenga! That's a train shed !! Ukunya hauna hii kitu!Hii hapana yaani tutakuja kupigana miti sana kama hawa northerners π