Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Tangu nizaliwe sijawahi kuskia popote pale in Tz eti umeme umekatika wiki nzima. 🤣🤣🤣 Jamaa hayo maneno wanapata wapi aisee.?🤣🤣🤣🤣.Aliposena Tz umeme unakatika wiki nzima tena kwa msisitizo anafahamu na ni kawaida ndo nikaona hapa either tunabishana na wendawazimu au watu ambao wamepewa simulizi nyingi sana za ki Juha tangu wanakua😅
We jamaa sidhani kama ni timamu wewe,, 🤣🤣🤣 sasa kwenye hii mitaa kuna nini cha ajabu chenye unahisi Mwanza hakipo.? 👇Hii ndio skyline ya Mwanza?😂😂😂
Hii ni bado sana hata kwa kaeneo kadogo Mombasa kama KizingoView attachment 2842150View attachment 2842151View attachment 2842170View attachment 2842171View attachment 2842172
Andika kwa kingereza umesahau.I know Tanzania very well sir. If your blackouts happened in Kenya for a week, we would be trending all over the world. Kwenu Ni kawaida Sana.
I hope watayajengea upande wa Kigamboni!
Vumbi kila mahali, Vumbi Nation in The best 007Wadau nimekasirika kutomalizia hii tour. Ila ona barabara zote Tatu City zilivyo
View: https://youtu.be/ftCyb8OohNo?si=Fb_3p21qNkSBcsxj
I bet warembo wa aina hiyo Kenya ni sawa na Idadi ya Faru Kenya.
tatizo nn huoni age difference?Eti!? Hata kama huna macho!!
View attachment 2842547
Mradi huu unakubali sana. Mwa ngapi!?
Wallahi nikiweka webcam Hata hapa Mirema for one day utashangaa wewe!!!
Hii ndio skyline ya Mwanza?😂😂😂
Hii ni bado sana hata kwa kaeneo kadogo Mombasa kama KizingoView attachment 2842150View attachment 2842151View attachment 2842170View attachment 2842171View attachment 2842172
Kama NBO mwanangu 😍😍😘🥰❤️🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥Rare photos of Mwanza City. 👇View attachment 2842502View attachment 2842503View attachment 2842505View attachment 2842507View attachment 2842508View attachment 2842510View attachment 2842511wewe kima Nicxie njoo hapa ujifunze Mwanza mpuuzi wewe. Hizo ni view za zamani a lot have been changed in the city recently. Hii Mwanza ni capital city of lake zone, huu sio mji wa wavivu na vilaza kama mombosa wala hatungojei foreign investments we mbuzi