Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona unaangalia meli kwenda Dar port zilivyopangana! Kuna za kuleta pipelines za EACOP, kuna za mafuta ya Uganda, kuna za magari ya nchi nyingine, kuna za locomotives za electrical SGR pia.
Laini ya meli inaonyesha inefficiency not SIFA.
Shows poverty
 
Ila we Jamaa Huwa unanifurahisha,Kwa hiyo wewe Huwa una your own GDP figures πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Nchi maskini na omba omba kama kundustan pa1 na ile gdp yao ya kuchovya haiwezi kuendesha miradi ya kama ya rufiji hydropower,sgr,brt system phase 2,3,4 kwa wakati mmoja,huku miradi ya barabara nchi nzima ikiendelea na bado mishahara kwa watumishi wa umma inalipwa kwa wakati,angalia wazee wa gdp ya kuchovya kundustan vimiradi vyao na bado serikali yao inafikia kipindi inashindwa kulipa mishahara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…