Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona unatafuta Angle ya kutokea, hizo site sawa zinauza Authentic vipi kuhusu mchele uliopo hapo unatoka wapi?
Kilimall and Jumia don't deal with foodstuff ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Kama hujui kitu unanyamaza.
 
Alafu unapiga kelele Kenya products dominate EA ukishikwa kende kwa maduka ya Mangi now zimekua fake.

By the way una kende, kweli?
Kenyan built buses are all over East Africa. What else do you need to know?
 
Sisi tuna kampuni zetu za ndani for online shopping kama sarafu etc. Hatutegemei kampuni za nje.
Kuna Piki, Duka direct, Nikuze, Sarafu etc zote local na zinafanya vizuri sana. sema hawa watu wanadhani jua linazunguka kwao tu, Angalia vitu vyote wanavyoshanglia, sio vyao, sijui Jumia , Uber eats etc, Ukundustan Kazi. ๐Ÿคฃ
Bila vitu vya watu kuwa pale hawana mbele wala nyuma, huyo mwenyewe akuonyeshe order kadhaa kafanya uber eats or Jumia๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hii issue ya kunyaland kuona hao ni black whites inachekesha sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hivi wakunya mliomo humu ndani apart from githeri,mukimo,minji,mutura na muthokoi na chapo ni chakula ghan cha asilia mnajivunia nacho?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚eti kula pizza, na kuku wa unga kfc na French fries ๐ŸŸ unakua we ni wa majuu kwa kutumia glovo au Uber eats ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ukunya ni kazi ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Jumia and Kilimall you will be buying authentic items. Sio vitu fake that you are used to.
Alafu nikuibie siri, sababu inayofanya hayo masupermarket yasifanikiwe ni kua bongo yoyote anaweza miliki Ardhi iwe mjini or vijijini, hii inafanya yoyote aweze fungua Duka la FMCG, sasa huko Ukunya ardhi kuipata mbinda hivyo hamuwezi establish popote, wanaomiliki ndio wanaishia kuwafungulia sehemu moja mnaenda wote hapo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ