Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

20171027_170334.jpg
 
umejibu swali tayari...

Unajua point ni kwamba shopping in malls sio kitu cha kujivunia sana Wa Tz ..cause vitu hivyo hivyo hupatikana at a cheaper price kwenye other stores ..than malls ..kwahyo shopping culture i dont think ina reflect sana uchumi wa nchi husika ..cause inategemea na culture ..
China wana mall moja kubwa sana ..nmesahau jina ina hadi leo ni ghost malls yan ni kama 10% maduka 90%empty stores ..does tht mean wachina hawana hela ya kufungua maduka kwenye mall hizo..

Alfu cha pili watu wengi hufikiria uchumi wa nchi unapimwa kwa Tall towers ..nawaonea huruma watu wenye mtazamo huu ..cause ukiangalia the tallest tower in europe iko london na ina 300m only ..ila angalia uchumi wa nchi za europe ..kwahyo Tower cio kitu cha kushangilia sana Nchi ikijenga ..tower wakat wananchi wao wengne wanashndwa kupata 1usd per day
 
blah blah blah...save your stupid excuses pal...you think there are no cheap open air markets in Nairobi? I'll give you one example, Eastleigh Nairobi ni kama tu kariakoo but the malls still get business
 
blah blah blah...save your excuses...you think there are no cheap open air markets in Nairobi? I'll give you on example, Eastleigh Nairobi ni kama tu kariakoo

Kwan nani kasema ni excuse ..mm nmesema hatuna culture hyo ..nyie mmetawalia na mkaadapt western culture ..na sio kwamba cc hatuna malls pia
 
you are trying to explain yourself ati Tz hamna malls kubwa kama Two rives eti sababu Tanzanians have a culture of buying cheap things in Kariakoo...thats an excuse my friend...ila naelewa kiingereza ndio shida pole😀😀...pengine hilo neno hata ulielewi jinsi wewe ulivyo mbongo..
 
Sawasawa...
Ubungo ni 3 level intechange na ni refu zaidi ya 500m sidhan kama bro iyo ni tumepigwa
I'd like to request for the link stating that it'll have an over 500m long overpass

Kisha bado hio bei juu, considering that around 10km of it's 14km are elevated (overpass). Of course that's ignoring the 98 overpasses on the SGR of which around 50 are longer than 500km because they carry rail.
 
you are trying to explain yourself ati Tz hamna malls kubwa kama Two rives eti sababu Tanzanians have a culture of buying cheap things in Kariakoo...thats an excuse my friend...ila naelewa kiingereza ndio shida pole😀😀...pengine hilo neno hata ulielewi jinsi wewe ulivyo mbongo..

Mwongozo Housing Kigamboni Dar es salaam (NHC)

location.jpg

8.jpg

CHsdWldWsAAyJWR.jpg:large

http://www.nhctz.com/mwongozo/
 
tumia akili ww...ati Two Rivers unafananisha na nini?
Why are you mad, try to understand, nimekwambia kwa DAR tuna Morocco square, Itafunction just fine with us, Na nasisitiza kila kitu mlichonacho na sisi tunacho, ie hiyo CitY lodge. tena zote bado U/C. we umekariri kucompare, nacare about function au performance ya kitu. Ukubwa wa pua sio wingi wa Kamasi😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom