tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Hao wanaflyover au utanisio kila mnachofanya nyinyi sisi tuwaige.
Hao wanaflyover au utanisio kila mnachofanya nyinyi sisi tuwaige.
NA HIVYO NDIO MNAKULIWA PESA ZENU...Ubungo fly over inatugharimu ksh 9.4bn
honestly mnipe any of ur flyover ambayo ni ya thaman zaidi ya hiyo? Kama Hamna muache kelele Za kizamani
Tazara inatugharimu ksh bn 5 sasa kama nyie mko na flyover 60 za million 50 each ndio kusema mnaflyover eti muache uzoba
So wataka kusema yote Ni overpass for 15 km au iyo ni sehemu ya mradi?NA HIVYO NDIO MNAKULIWA PESA ZENU...
Outer ring road 15 kilometres ilijengwa na ksh 8.1 billion
![]()
![]()
Sio yote ila most of the highway is elevated na sio overpass, ni highwaySo wataka kusema yote Ni overpass for 15 km au iyo ni sehemu ya mradi?
Sawasawa...Sio yote ila most of the highway is elevated na sio overpass, ni highway
the thing is, Kenya used kes 8bn to build a 15 kilometre highway which is 8 an lane,and elevated while you are using more for just a mere 4 lane flyover not stretching more than 500 metres. dont you see that as a joke?So wataka kusema yote Ni overpass for 15 km au iyo ni sehemu ya mradi?
the thing is, Kenya used kes 8bn to build a 15 kilometre highway which is 8 an lane,and elevated while you are using more for just a mere 4 lane flyover not stretching more than 500 metres. dont you see that as a joke?
remember there are overpasses,underpasses,interchanges,tunnels and bridges the entire stretch of the highway.Sawasawa...
Ubungo ni 3 level intechange na ni refu zaidi ya 500m sidhan kama bro iyo ni tumepigwa
KENHA is also building a 480 kilometre, 6-lane expressway from nairobi to mombasaCorrection,3rd level is 6lanes of abt 1km overpass,2nd level will be a bit short but of abt 500M and I think is 4 lanes...rembember Morogoro road has BRT lanes on ground.. and before completion of interchange the super duper highway of dar to chalinze 100 km 6lanes will follow
tumia akili ww...ati Two Rivers unafananisha na nini?
Hapa itakuwa vizuri sana kama nikweliKuna hii taarifa vipi
Tetesi: - Jeshi la Polisi Tanzania linawashikilia Maafisa wa Usalama kutoka Kenya
MOTOCHINI Annael wazee wakunyapia nyapia hii kweli?
umeuliza swali na ukajijibu tayari...i will summarize...size (Largest mall in East and Central africa), fountain, it has a manmade lake etcKwan two rivers ina nini kipya ambacho malls za Tz hazina ..ukiachana na dancing fountain ..two tivers is just 62k sqm mall which is twice size of mlimani ..while most of malls in Dar kama, Mkuki House is 35k sqm na ina kila aina ya kitu utachohitaji ..shops,hypermarket,cinemas,bowling ,ice skating, game acrade,restaurants , ..Mlimani 30ksqm ina kila kitu ..na bado ina phase 4 expansion to 50k sqm na kuna malls kibao cjazitaja..City Mall ,Quality Centre ,Aura Mall ,Slipway,Shoppers, Mayfair ,JM, DFM, Shamo World ,..etc