Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakunaga mkenya young aisee usituongopee, mkenya akiwa na miaka 10 tu tayari uso unakuwa ushamparara kutokana na shida mlizo nazo, hao wote mliowaweka ni wazee.
Nimecheka kama fala aafu wewe utakuja kutua mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimeskia mkenya anazaliwa akiwa tayar ana miaka mitano🤣🤣🤣🤣
 
As long as tulikanyaga Tz we are okay with anything that comes afterwards.
 
Kwa hiyo bado wanabandika ukutani?😂😂😂😂
Ooh thithi ndio vinara kwenye ICT nyenyenye………😹😹

Yaani vitu tumesahau Bongo kumbe huko ni breaking news? Eti hadi LUKU nayo ni maajabu pande za Kiberaland? 😅😅

Leo nilikuwa nafanya applications za licenses kadhaa kwa biz yangu, yaani chap Brela kufanya annual returns dk 0 tayari, kuja kwenye leseni ya biashara chap kwenye TNBP, nikacheck TASAC pale chap tu Portal yao ikafanya mambo, pale TRA ndio balaa, ma-returns yote kwa portal huku unakula wine, mchawi internet tu………hizi kazi nimezifanya ndani ya masaa 4 wakati enzi zile ingenichukua miezi miwili hadi 3 kumaliza, alafu kumbe wenzetu hadi matokeo ni ya kubandika? Haki nimeumia sana, inauma The best 007, inauma sana kaka, inabidi tuanze kampeni ya empowerment ya hawa mandezi wa EAC, tunawaacha mbali sana kwenye kila kitu😅😅
 
You are bragging of things Kenya did in 2005. Tax returns are done online in Kenya, all government services are found online. Just because mlifungua macho juzi haimanishi wengine bado wamefunga yao.
 
You are bragging of things Kenya did in 2005. Tax returns are done online in Kenya, all government services are found online. Just because mlifungua macho juzi haimanishi wengine bado wamefunga yao.
My brazee si tunaona hapo hata website ya matokeo ni breaking news? Na anasisitiza itakuwa free of charge, kumbe to date mlikuwa mnabandika kwa ukuta na mnalipia kuona, ama ni nini?😂😂

Vipi mshaweka stima ya kununua online na kulipia au bado mnapokea bills za makaratasi toka kwa KPLC? 😹😹
 

Soma tarehe ya hii post. 😂😂😂


View: https://x.com/kemolisagala/status/1717146870269579422?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
 
You are following Kenyan shadow.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…