Kwanza asante kwa kukiri kila pembe ya 1590 km sq ni maghotofa na nyuma ya magorofa kuna magorofa pia😀😀na mbona dar imejengeka kwa major highways tu....picha zote away from CBD ni maghorofa kandoo ya highway..mimi hushanga huko nyuma ya highways kunafanana aje juu hamjawahi tuonyesha
Wawekezaji kazi yao ni kujenga viwanda na huduma za kijamiikwa sababu ni kazi ya wawekezaji kubuild na sio serikali
Hapo umekosea pakubwaDar imejengeka nje ya kuliko ata Nairobi
Morocco
Magomeni
Mawasiliano
Makumbusho
Kawe
Manzese
Masaki
Hizi zote ziko mbali sana na mjini
Ole sereni is 6.3km from CBDHapo umekosea pakubwa
Hizi hapa chini ni business districts to, no estates
CBD - 0km
upperhill - 2km from CBD
westlands - 3.5km from CBD
Parklands - 4.5km from CBD (sawa na kijitonyama)
Yaya center - 5km from CBD
Ole Sereni - 12km from CBD
Ruaka (iliyo na 2 rivers) - 18km from CBD
[IMG]http://global-4-lvs-odra.opera-mini.net/hn16-07-08/66038/0/-1/www.africapropertynews.com/file=articles/Two_Rivers_development_in_kenya_417744120.jpg&size=article_large/bde5da2bb6571a89254a8207545fe08244544633/thumbnail.jpeg
Hapo umekosea pakubwa
Hizi hapa chini ni business districts to, no estates
CBD - 0km
upperhill - 2km from CBD
westlands - 3.5km from CBD
Parklands - 4.5km from CBD (sawa na kijitonyama)
Yaya center - 5km from CBD
Ole Sereni - 12km from CBD
Ruaka (iliyo na 2 rivers) - 18km from CBD
[IMG]http://global-4-lvs-odra.opera-mini.net/hn16-07-08/66038/0/-1/www.africapropertynews.com/file=articles/Two_Rivers_development_in_kenya_417744120.jpg&size=article_large/bde5da2bb6571a89254a8207545fe08244544633/thumbnail.jpeg
Ole sereni is 6.3km from CBD
Kwa majengo marefu kati ya dar na luanda naeza tetea dar kiasi ju luanda hawana majengo marefu sana kama dar.....lakini upande wa modern luanda wako sawasiwez poteza mda wangu bure...nikama kufananisha Nairobi na Kampala...Luanda ni mji mtamu sana...hata mara nyingine huwa nashuku kama Nairobi inaweza compete na lile jiji...sembuse Dar😀😀
13min sawa na 12.6km bro be serious
Wewe ata haujielewiIvi kama Tz inamabillionear wengi kuliko Kenya mnatupitaje kwa mamillionear
Au ndo ile kama mlivyosema Tz wapata internet ni laki1.4 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani amepinga tumepinga picha msee
Kwa wale wakenya wanaobisha kuwa kijitonyama haiko 10km from CBD
Huna factsWewe ata haujielewi
Wow renders once again thanks bro😀😀😀Na bado hizi u/c zipo
Tatu
New town
Konza
Sasa unavyodhani ni picha za wapi bro???Nani amepinga tumepinga picha msee
Tuma picha ya kijikonyamaSasa unavyodhani ni picha za wapi bro???
Wapi picha za progress.?Na bado hizi u/c zipo
Tatu
New town
Konza