Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Generated by Kenyans? Majority of Diamond subscribers are Kenyans 😂😂😂
Wewe tena.? 🤣🤣🤣🤣 Kwenye ile data yako inaonyesha Kenyans wanaotumia Facebook ni 1m .. na nikakuuliza ni mitandao Gani mnatumia zaidi ukasema ni Tweeter na Facebook, let's assume kenya iko watumiaji wa YouTube 1m pia. Sasa how watu 1m waweze ku contribute 8.35m subscription. 👇
Screenshot_20231126-161827_1.jpg
how on earth.? 🤣🤣🤣🤣
 
Unajua maana ya gari Moya wewe? Ama unaongelea hiyo mitumba ya 10 years mliozoea kununua. Hii hapa Bei ya Toyota Hiace Mpya kwenye international market.View attachment 2825748
Wewe mpumbavu tumia akili.. hakuna mfanya biashara mwehu anaweza kununua ki daladala cha kutosha abiria 8 kwa US 73k .. 🤣🤣🤣🤣 hapo bado pesa za ushuru na usafiri hadi ifike kenya.. atalipisha nauli bei gani hadi arudishe pesa aliyowekeza.? 🤣🤣🤣🤣🤣. We ndio fala wa mwisho.
 
Mwambie akuoneshe hio hiace ya 2023 hapo kenya 😅😅😅😅😅😅

Hiace hzo ni 2009 imezidi sana 2013 na ndio hzo zinauzwa 3m ksh na bado wanatandikwa kisawasawa kwenye bei sasa sijui ushuru wao mkubwa sana 😅😅😅😅
 
Wewe nilishakuambia kwamba Somalia haiwezi kuingia EAC kwa sababu Kenya ita-veto hio decision. Ujue hakuna jinsi nchi mpya itaingia EAC ikiwa nchi yoyote itapinga. Kwa hivyo Somalia haiwezi kuingia EAC ikiwa Kenya itakataa. Decisions za EAC zinafanywa kutumia concensus yaani makubaliano. Hakuna kutumia kifua kwenye EAC lazima kila nchi ikubali ili jambo fulani lifanyike. Somalia haitaingia EAC. Simple tu. Somalia ni maadui wetu wa jadi na hatuwezi kukaa kwenye nyumba moja na wao.
Usiyempenda kaja😁😁
 
Wewe tena.? 🤣🤣🤣🤣 Kwenye ile data yako inaonyesha Kenyans wanaotumia Facebook ni 1m .. na nikakuuliza ni mitandao Gani mnatumia zaidi ukasema ni Tweeter na Facebook, let's assume kenya iko watumiaji wa YouTube 1m pia. Sasa how watu 1m waweze ku contribute 8.35m subscription. 👇View attachment 2825771how on earth.? 🤣🤣🤣🤣
Kati yako na YouTube trend manager who should I believe?

Screenshot_20231126-163134_1.jpg

Actually 80% of Diamond subscribers and viewers are not from Tanzania. Meaning Tz only contribute 20% to Diamond success 😂😂
 
Mwambie akuoneshe hio hiace ya 2023 hapo kenya 😅😅😅😅😅😅

Hiace hzo ni 2009 imezidi sana 2013 na ndio hzo zinauzwa 3m ksh na bado wanatandikwa kisawasawa kwenye bei sasa sijui ushuru wao mkubwa sana 😅😅😅😅
🤣🤣🤣🤣 Hawa jamaa ni mabogozo sana. Halafu eti anajidai "Unafkiri sisi tunanunua vitu used kama nyinyi" 🤣🤣. Hawa wanatuzidi ujinga na majigambo
 
We started making our own grown names, tuliamua millions of dollars tunatumia kuleta wasanii wa kubwa duniani tutawapa wa Bongo and that's how entertainment yetu iligrow, tuna akili kubwa kuliko ninyi washamba washamba
Nakumbuka sometime back tuliwaalika Brazil tukapiga match pale na hawa wakundustan walituita majina yote mabaya kwamba sisi masikini tunapenda kujipambanua, leo hii Soka yetu inavutia, ipo juu, Brazil tulishacheza nao na wakundustan bado wapo wapo tu kwenye tope midomo mirefu na michafu tu na inazidi kurefuka 😂
 
Kati yako na YouTube trend manager who should I believe?

View attachment 2825778

Actually 80% of Diamond subscribers and viewers are not from Tanzania. Meaning Tz only contribute 20% to Diamond success 😂😂

View attachment 2825779
Tumia tu akili ya kwaida huna haja yakupandisha hasira 🤣🤣🤣 inawezekana vipi users 1m ambao probably najua hamuwezi kufika, muweze ku contribute 8.35m subscription.?👇
Screenshot_20231126-161827_1.jpg
.. au mwenzangu upo usingizini unaota.? 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom