Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

These buses more ugly than monkeys' face. Let's do comparison again ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Chinese box

1700894274283.png


Kenyan bus.
1700421161946.jpg
 
Maintainance how? Mlango unafunguka kama wa nyumba? Finish ya ndani wanatumia vitambaa vya sofa, body za vyuma vya ujenzi, yaan square pipes nk (muulize ahmed baada ya ajali waliona nn), kuna miaka tanzania tulipambana sana na bus zenye chasis za maroli hizo zote zina chasis za roli na kwetu huwezi pata usajili. Ndani zina siti za ajabu ajabu, kuna zile zenye body pana kuliko upana wa tairi za mbele, muulize raqeeb na gari zake sasa hivi zimebadilishwa route zinaingia vijijini huko sababu route za mikoa haziwezi tena kukimbizana na mashine za kisasa.
Mkuu inaonesha wewe ni expert kwenye hii idara ya mabasi.
 
Mkuu inaonesha wewe ni expert kwenye hii idara ya mabasi.
Kama huyo ndio expert wenu then Tanzanians have a long way to go๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. The guy mwenye hata hajui tofauti ya bus and lorry chassis? Mwenye hajui hata all buses in the world are made using square pipes?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Yani umetafuta picha za this year zikashinda?๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚ Again Nyamira has so many buses kuliko any bus company in Tz.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
View attachment 2824302
Yani nimecheka sana tena sana na leo ndio nimeamini munasafari ndefu sana kufika tanzania ilipofika leo ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Kama unazijua then you know that they have more buses than any bus company in Tz, ama nadanganya?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Yani nibora hata usingeitaja manake umenikumbusha nikacheka sana ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Hamuwez shindana na tanzania kwenye bus tena sio bus tu zenye ubora wa hali ya juu kabisa hio sahau
 
Yani nimecheka sana tena sana na leo ndio nimeamini munasafari ndefu sana kufika tanzania ilipofika leo ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Tanzania ndio ina safari ndefu kufikia Kenya. Hakuna kitu mwenye anaimport fake buses from China will tell me๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Yani nibora hata usingeitaja manake umenikumbusha nikacheka sana ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Cheka zaidi. You asked for companies with more fleet and Nyamira is there. Are you aware of the number of buses they have?
 
So fuselage ndio itafundiaha watu kua marubani???๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… jibu swali
Teaching start with the basic, everything starts from basic. Even professional pilots started with grounded planes ndio wakapromote to aircraft and finally to airplane. But I don't expect you to know such since you didn't step in any classroom.
 
Sawa tumekubali mkuu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
See how ugly the exterior of this bus is๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

1700895194419.png



Compare it to this
1700848722814.jpg
 
Back
Top Bottom