Munataka kazi za mbiombio tu alaf mkiripuliwa kazi muanze kupanua pua zenuKwa hiyo nani msimamizi? Pesa ipo Wizara ya Ujenzi na TanRoads ndio Wana procure wakandarasi makanjanja Kwa sababu wanahongwa.
Sasa hivi itawatokea puani
View: https://www.instagram.com/p/Cz-gFkVI_l_/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
Hakuna Cha mbio mbio, wakandarasi wengi wako nyuma ya mda na sababu ni kamfumo la upigaji na Rushwa pale Wizarani na TanRoads.Munataka kazi za mbiombio tu alaf mkiripuliwa kazi muanze kupanua pua zenu
Kila waziri sasa hvi kageuka kua chawa hata kama hakuna suala la muhimu atafanya liwe la muhimu kusudi tu lionekane
๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ ๐ itamtokea nani puani
Tanroad imefanya kazi ngapi kwenye nchi hii au unajua kupost hujui kusoma
kumbe buroti maguta maguta ilishafika tanzania....lol
Ngoja ni zoom maana wanapita kimya kimya kama hawaoni ๐๐๐Serengeti beats 200 African National Parks in Safari bookings survey
The Serengeti National Park has for the fourth consecutive time, emerged the best African Safari Park from the 2023 study conducted through SafariBookings.www.thecitizen.co.tz
Kunajamaa kule You tube anatwa EVANS FROM KENYA, nmeamua nimtembelee kidogo anajaribu kuichafua nchi yetu lakini ukisoma comments zinapingana nae,. na wanao comments sio wabongo.. na wanasema tz ni nchi salama sana kuliko kenya watu wakarimu sana na wasio taka makuu.. kiujumla.. yeye kwenye THUMBNAL zake ametarget sana kuipaka matope tz.. sasa naomba uyu jamaa alipotiwe kwa uhalifu... na inatakiwa tumpelekee moto wa gas...
Super highway ya nyokoHii ndio Ile Super highway au? ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
View: https://twitter.com/KeNHAKenya/status/1727254415936303571?t=0xtxhE483XNFykL_uzgJxA&s=19
Wakilala ni tanzania na wakiamka ni tanzania
Yani wanaiogopa tanzania kuliko corona ๐ ๐
View: https://twitter.com/StandardKenya/status/1727550076711567859?t=cwFH0rWB3cvmS3s4fMMC_w&s=19
Ndio ununue sausage au any meat product kutoka Kundustan? ๐๐๐๐๐Ogopa matapeli, Utalishwa kitu you cant Pronounce๐๐๐Masikini kula nyama tena bye bye ๐ ๐ ๐
Kwanza ona ng'ombe walivokondeana yani kila moja utakuta kilo 40 hapo
View: https://twitter.com/K24Tv/status/1727552559261327799?t=EGa7s3BG5Unc85c8saKWdg&s=19
Ngoja yule mzee wa sub ground level aje atueleze hii ni nini sasa ๐คฃ๐คฃ๐คฃRoads standards za kenya bhana ๐คฃ๐คฃ๐คฃ hii sasa ndio lami ya kupaka Reborn Ktb ๐View attachment 2822390View attachment 2822391View attachment 2822392View attachment 2822393View attachment 2822394they have just painted the black color and drawing the road marks ๐คฃ๐คฃ๐คฃ. Ati ndio mnataka kushindana na sisi kwa barabara
Sasa hvi wataanza kuchemsha mawe wale supu๐ ๐ ๐ ๐ ๐Ndio ununue sausage au any meat product kutoka Kundustan? ๐๐๐๐๐Ogopa matapeli, Utalishwa kitu you cant Pronounce๐๐๐
Naona jana mulimlisha chokaa akarudi na id nyingine ya kulia maana id zake zote ni machozi tu ๐ ๐ ๐ ๐Ngoja yule mzee wa sub ground level aje atueleze hii ni nini sasa ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
dah sijawahi kuona nyimbo zikipigwa viwanja vya ndege! Huwa kunakuwa na flights info na news! Tusifanye viwanja viwe bar!
ALEGO USONGA DEEP IN THE NYANZA VILLAGES