Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama yule mnaemsifiaga asingevuruga ila Project ya Kigamboni nadhani saizi ingekuwa imefika mbali sana maana ilikuwa iwe developed na private sector ikiwa well planned.

Tungekuwa Bora kupita hata Eco Atlantic ya Lagos.

Mwisho Senegal ni Moja ya Nchi zinaongoza Kwa economic growth Kwa miaka ya karibuni Kwa Africa na Iko Iko led na Private Sector investments.

Mwisho Senegal labda kama iwe export manufacturing hub but Haina Watu wengi hivyo Bado in terms of competitivess Kanda ya EAC Iko vizuri kuliko sehemu yeyote ya Afrika.

View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1723011755662532677?t=wt-Y4NnCRHl5zV2bFINCWA&s=19
 
Usingemuonesha kwanza ungemuacha kwanza akasimamia kucha alaf tumuekee pilipili kichaa kwenye kijambio ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Siku hizi wanapapaswa kende kila eneo, Zamani wabongo walikua wanaamini promo za Wakundustan ila sasa hivi wanabishiwa live bila chenga na wanapewa makavu yao.
WANAJIONAGE WAPO MBELE๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

 
๐Ÿ™„ Msalato airport ndio hii.? Hawa nyang'au wa north watakimbia humu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ