ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,312
- 89,721
Vipi hali ya mwembe leo? 😁Usisahau ni majuzi tu wamefanya renovation tukawa tunaringishiwa humu. 😂😂😂
Inacho determine tuta liwe vipi ni axle weight kama SGR ya Kenya ni comparable to MGR ya Tanzania kwa axle weight.Kuhusu tuta umepiga kamba ,kwamba tuta la cape gauge haliwezi kubeba uzito wa Sgr ya diesel kama ya Wakenya?
Weka sababu ya kitaalamu tuone
Niliyemuuliza ameshanijibu.Inacho determine tuta liwe vipi ni axle weight kama SGR ya Kenya ni comparable to MGR ya Tanzania kwa axle weight.
Umeme ni shiiiiida 😁Mbona nyang'au siwaoni?😁
Dah meno ya mwenzako unatafunia mchanga dah so sad.
Hii EA integration bora iende taratibu ama sivyo tukiharakisha hawa northerners watakuja kutuachia mzigo mkubwa kiuchumi. Maana vigezo vyote vya economic convergence wanakiuka.Nyie kaeni kimya mm nikiwaambia hawa wanalaana ya dunia munabisha 😅😅😅
View: https://twitter.com/NationAfrica/status/1724271565037031858?t=IWKO3FTDLFoWGit9n2AGKQ&s=19
View: https://twitter.com/MlourieMirr/status/1724273198437429708?t=7DXbvUQwTnaA5QMFtaf8bw&s=19
Wapo wanaziba tents za JKIA kwa superglue😅😅Mbona nyang'au siwaoni?😁
Duh bado wana buses zenye carrier juu 🤣🤣🤣You mean this 🤓🤓🤓🤓View attachment 2813338
No wonder they are the biggest fabricators in EA. These are what they fabricate 🤣🤣🤣