Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The fake ones are those for Superfeo. Look at the windows are compare with other original Marcopolo. Hizo za Superfeo ndio zimetoka China.
Na mbona mwanzo ulikua unasema ni zenu.

Alafu Battle za buses unaposema za Kenya usipecify kwa kusema "Baadhi ya bus zetu ambazo ni chachee ni nzuri kulinganisha na...."

Sababu ukigeneralize automatically makarai, mafuso, na takataka zisizotambulika duniani zinaingia humo automatically uzuri haupo hapo.

Be careful na kauli, watu pekee wa kugeneralize with confidence ni Bongo hapa.
 
Ebu tafuta penye nikisema Superfeo zilitoka Kenya. We don't produce fake buses😅😅😂
 
Another fake Marcopolo. It doesn't have the Marcopolo trademark name where it usually is. Instead they have placed the name Scania 😂😂

 
Duh! Ama kweli wakenya ni sikujua wemefika hadi kuoza kabisa. Kwamba Scania office inakuuzia Marcopolo Fake?
Scania office doesn't care if Marcopolo is fake or original. Hao Bora umetumia engine and Chassis yao they will present the bus to you. Kuna hadi Marcopolo za Isuzu and Man, ama unadhani Marcopolo can only be Scania?😂😂😅
 
Wapi za Ukunyani? Level yenyu ni Isuzu chassis Tuzo mini buses! Hamna kitu mnajua Fly540 saahii ipo bankrupt!
We have original Marcopolo, not those fake things from China. For the Isuzu, Kenya is the only Country in East Africa with the latest Isuzu bus chassis FVR90. This is an eight wheeler chassis.
 
This chassis is only used by Kenyan buses in entire East Africa. An eight wheeler Isuzu chassis.

These two are the first buses to use it.
 
Kaongea Olunga mtu wa mpìra yeye ni takataka gani mpaka abishe kwa mitazamo yake ya kibera?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…