Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The bus imekuwa registered on his name to avoid to auctioning. Last Gor Mahia bus was auctioned and that's what they are trying to avoid this time round.
Sasa mbona Unakua mkali ukiambiwa timu masikini. Hapo unaona timu ni tajiri imeshindwa hata lipa Madeni, mbona huku bongo Timu zinapelekwa Fifa 200m to 300m zinawatoka na assets bado zinakuwepo.
 
Huyo nyang'au Teargas bado anaishi enzi za Jomo Kenyatta, usimlaumu😁😁😁
 
Kibera has changed? Hebu angalia video ya huyu YouTuber katembelea kibera week hii na Bado Kuna nyumba za udongo...Mimi sijawahi ona nyumba ya udongo Dar nzima...

View: https://youtu.be/Xd1N8lQmj8E?si=BbFuZVnHIfxRbBN0
 
Magomeni iwe ndogo iwe kubwa the fact remains it's an ugly uswazi hovel
 
Nyinyi ni waongo sana... Tazama hii video vzr ya Chris alietembelea Nairobi week hii...tena wakati wa mvua
Nairobi CBD ina potholes kibao tena karibu na Kenya archives kabisa, mjini Kuna matope pavements ni za kizamani sana hadi zimekatika katika...Kuna mto hapo mjini maji ni meusi...
Msikilize vzr yaan Nairobi ukitembea na viatu vyeupe unarudi hutamaniki...
it is very sad kuwa ndo the only capital and commercial city in kenya lakin Bado City center yake ni ya ovyo...sipati picha harufu

View: https://youtu.be/jSxPJMvpNfQ?si=Bo_cxzlgm-hRJ-Gu
 
😅😅😅😅 zwazwa anasema wao hawafanyi assemble ila wana fabricate bodies

Eti Teargas je ni kweli hamufanyi assembling??😅😅😅😅😅😅
 
Kwa hiyo umeungana na Wakunya kuichafua Nchi kisa chuki Kwa Samia au? 🤣🤣🤣🤣

Ila we Jamaa unatia huruma sana saizi
Nilitaka nikupotezee sababu hunaga akili.

Kila post inahusu mama?? kbla ya mama mafuriko hayakuwepo?
Mama kuwa Rais na mafuriko jangwan au msimbazi kuna uhusiano gan?
 
Nilitaka nikupotezee sababu hunaga akili.
Kila post inahusu mama?? kbla ya mama mafuriko hayakuwepo?
Umeweka hiyo picha ya Mafuriko Ili iwaje? Kwamba unawafurahisha Wakunya au unataka kusemaje?

Hapo awali kabla ya mama wakati Mafuriko yakitokea uliwahi weka picha humu?

Nimekuwa nakufuatilia posts zako nyingi zile Zenye unahisi zinaweza ku undermine reputation ya Serikali ndio unaziweka.

Umekuwa punguani wahi Mirembe kabla Hali haijawa uncontrollable.
 
Nyingine hizi hapa

Ngoja nitoe comment 'sawasawa' na akili yako ilivyo.
Mama hafai kuwa Rais sababu anasababisha mafuriko jangwan na msimbazi. Tukutane 2025 😄

View: https://twitter.com/millardayo/status/1723660419288465511?t=S9g9afQTRiIGi6Jpl1_klA&s=19
View: https://twitter.com/millardayo/status/1723618836115509515?t=FnOL9lTWAH6fofAKV3GsTQ&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…