Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Failed state. Huenda ikawa hakuna mafuta ya kutosha kuzalisha umeme kisa upungufu wa dollar au hamjalipa ile deal ya government to government kwenye petroleum procurement 🀣🀣🀣
 
This year tahmeed wamenunua mabasi zaidi ya 20 zilizokuwa assembled kenya keep crying
 
you wont post to us how in tanzania passengers stand even for a 800 km journey...you think we dont know the real tz from this cherry picked delusion you guys are trying to paint...haha
Sisi tunazingatia sheria za barabarani kijana kila seat ina seat belts at every point askari hupanda kuangakia kama watu wote wamekaa na kufunga seat belt pia ukisimamisha abiria mizani hupiti bus inakuwa impounded tembea Tz acha kusimuiwa ukiwa hapo pipeline.
 
Timu zenu zina umaskini mkubwa sn aisee, imagine mtu mmoja ananunulia timu bus ili kuondoa aibu ya timu kutembelea Coaster 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Timu zenu basi zao zinanunuliwa na sponspors. No much difference.
 
Nani alikudamganya kua sport pesa imenunua bus??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… na nani aliwadanganya sport pesa ni kampuni ya kenya?? Unajua kazi ya sport pesa kwenye vilabu au hujui ??
Kenyans are not poor like you witches.

Huyo owalo mkimzingua analigeuza basi lipige route ya githurai πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚football investment nyie bado sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
The bus imekuwa registered on his name to avoid to auctioning. Last Gor Mahia bus was auctioned and that's what they are trying to avoid this time round.
 
The bus imekuwa registered on his name to avoid to auctioning. Last Gor Mahia bus was auctioned and that's what they are trying to avoid this time round.
Tuzo mini bus
The bus imekuwa registered on his name to avoid to auctioning. Last Gor Mahia bus was auctioned and that's what they are trying to avoid this time round.
Wacha uongo! Gor Mahia haijawahi kuwa na bus!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…