Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uko na net acha kutuonyesha primitivity hapa
Twende taratibu tu utaelewa somo tu maana mnajidai mpo na GDP kubwa twende details sasa za hiyo GDP.

Vilevile nakuleteta takwimu kuhusu nchi zenye uwezo mkubwa yaani Purchasing power parity
Kwanza anza kwa kupitia hapa:

upload_2017-11-20_14-0-8.png

https://answersafrica.com/largest-economies-africa.html
 
Per capital ilishafika 1000 iyo 720 inamaanisha hali ni bad mno
Ninataka nimwoneshe tu vitu vidogo vidogo. Asihe akakomalia GDP pekee. Kwenye uchumi kuna indicators nyingi tu ambazo ukiziunganisha zote utapata uhalisia wa maisha ya watu.
Wakenya ni maskini wa kutupwa.
 
tuko karibu kuonyeshwa edited tables and grape vine links that Burundi has a bigger economy than Kenya....hahaha.

what's so hard in looking at IMF and world bank sources jameni.....siyo random biased blogs
 
tuko karibu kuonyeshwa edited tables and grape vine links that Burundi has a bigger economy than Kenya....hahaha.

what's so hard in looking at IMF and world bank sources jameni.....siyo random biased blogs
Nenda juu hapo. Data zipo kwenye excel file sijaweka hapa maana mnaweza kukataa nendeni na ku download wenyewe msome.
 
Dar inaendelea kupendeza. Matibabu kwenye meli kubwa duniani toka china ndani ya jiji la Dar.
 
yani mm nakuhakikishia mungekua muna GDP ya 70b msingekua munaumaskini uliopitiliza ambao sijawah kuuona ndani ya east africa, lakin kwann inaonekana hvo kwa sababu mumepika figure ila kiuhalisia GDP yenu ni 55b😀😀😀😀😀😀😀
porojo kama kawaida..😀😀.narudia kenya GDP ni 70B na ndio kubwa kabisa ukanda huu...kajinyonge sasa...nitakusaidia na kamba
 
Annael ashakuwa GDP calculator...katafte kazi IMF bas...inaonekana unaweza ukawasaidia...😀😀mshamba anayeuza samaki pale Dar kashakuwa msomi sasa😀😀😀
 
Back
Top Bottom