Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

haya vilete hivyo vidonge...ila nashuku kama vidonge hivyo vina mantiki jinsi mlivyo LDC...yaani hamna nchi LDC inaweza tuambia wakenya...we are superior in this region..finish!
Lazima uzimie mwaka huu
Soma hapa upate maumivu zaidi:_

upload_2017-11-20_12-43-0.png
 
😀😀😀
View attachment 634178View attachment 634179
next? leta jipya..this is too easy
Very simple formula wala usiumize kichwa sana

Kenya recorded a government debt equivalent to 55.20 percent of the country's Gross Domestic Product in 2016. Government Debt to GDP in Kenya averaged 53.74 percent from 1998 until 2016, reaching an all time high of 78.30 percent in 2000 and a record low of 38.20 percent in 2012.

kenya-government-debt-to-gdp.png

In your 70B GDP you own 30B zingine zote sio zenu. Mko na deni 55.2% of your stupid GDP. Kwikwikwikwi
 
Dar es salaam inabadilika kila siku. Africa mashariki jiji linalozidi kujengwa kwa haraka na kwa modern buildings ni dsm. Kipindi fulani Nairobi ilikuwa tishio lakini siku hizi tunaifunika mchana kweupe. Na mshukuru waingereza waliwasadieni . Dsm stand up!!!
Swadakta 😀😀😀😀
 
Very simple formula wala usiumize kichwa sana

kenya-government-debt-to-gdp.png

In your 70B GDP you own 30B zingine zote sio zenu. Mko na deni 55.2% of your stupid GDP. Kwikwikwikwi
asante kwa porojo...at the end of the day, we are this region's largest economy (70B) and most developed country socially, politically and economically...leta jipya
 
yani mm nakuhakikishia mungekua muna GDP ya 70b msingekua munaumaskini uliopitiliza ambao sijawah kuuona ndani ya east africa, lakin kwann inaonekana hvo kwa sababu mumepika figure ila kiuhalisia GDP yenu ni 55b😀😀😀😀😀😀😀
 
Very simple formula wala usiumize kichwa sana

Kenya recorded a government debt equivalent to 55.20 percent of the country's Gross Domestic Product in 2016. Government Debt to GDP in Kenya averaged 53.74 percent from 1998 until 2016, reaching an all time high of 78.30 percent in 2000 and a record low of 38.20 percent in 2012.

kenya-government-debt-to-gdp.png

In your 70B GDP you own 30B zingine zote sio zenu. Mko na deni 55.2% of your stupid GDP. Kwikwikwikwi
GDP is the output ...debt ni deni over years
 
Let us calculate Kenyan Economy
1. They claim having wana gdp ya 70.5 usd Billion. Okay sawa kabisa.
2. Deni la taifa la kenya kwenye GDP ni 55.2%
3. Kenya recorded a Current Account deficit of 5.20 percent of the country's Gross Domestic Product in 2016
4. Jobless growth Rate in Kenya is 11 percent in 2016
5. The Kenyan economy expanded 5 percent 2017
6. Terrorism Index in Kenya remained unchanged at 6.58 in 2016
7. Kenya labor force 19,261,713
8. Military Active personnel 24,120
9. Military expenditure $5.5B by 2018
 
Unajua GDP inapatikana vipi?
Deni ni 55% of your GDP na GDP inatolewa kwa mwaka. Mtajibeba.
Wewe hauelwi ...output yote ya nchi ni GDP...banking,agricultural, etc bora ni formal inaingia GDP...so mkitaka kupewa loan na world bank ama banks zingine wanaona GDP iliwajue kama mta sustain loan...
 
Ambaye haelewi ni mimi au wewe? Deni la taifa lenu ni 55.2% of GDP
Maana yake $70B your claiming you have 55.2% inatakiwa kwenye deni.
Halafu hapo hapo Account balance ni -5.2% of your GDP
Kwa lugha ya kawaida kabisa ukienda kwenye central bank yenu ni utakuta (-5.2/100) * 70b = -3.64B
Inamaana actual amount mlizonazo kwenye Central bank ni $-3.64B

Mbona kitu simple sana hapa. Kwikwikwikwi. Hamna pesa ninyi ni maskini tu maana hakuna asset yoyote.
 
Deni ya USA ni 110% ya GDP yao sasa hawatabaki na kitu ama unamaanisha
 
Leta Current Account to GDP ya USA hapa ndio utaelewa nakueleza nini.
Kumbuka wa mwaka huu central Bank yenu Income statement inasema mpo na -3.64B
Sasa tukija kwenye Per capita (PPP) Nyie mpo na $3,400 wakati TZ $3,100
Sasa ukichukua Population ya kenya 48.46million na ya Tanzania 55.57 million sasa zidisha PPP ya taifa zima.
Kenya 48,460,000 x $3400 = $164,764,000,000
Tanzania 55,570,000 x $3100 = $172,267,000,000
Sasa hapo nchi yenu purchasing power kama nchi haiwezi kupambana na Tanzania.
Kumbuka bando nchi yenu account balance ni $-3.64b
 
Uko na net acha kutuonyesha primitivity hapa
 
PPP per capita yetu ni kubwa kushinda yenu acha hesabu rahisi kama 123
 
Back
Top Bottom