Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu mtaa wa Central Bank yetu haukamatiki wala hutakaa ufanane na kitu chochote cha TOPESTAN, Zingatia zile pavements kutoka Garden avenue, Sokoine drive, Mitaa ya Bunge pale hadi kuja kukutana na BRT lanes huku Kivukoni Front. Huwezi fananisha na hiyo kutu ya debeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
kaka inaitwa Bank of Tanzania (BOT)! mambo ya central bank achia Wakunya... πŸ˜† πŸ˜†
 
Central Bank imekaa kama national milling πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

BoT Mwanza branch

National milling Kunyaland πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Mombasa ndio rika ya Dar..infact Mombasa looks more developed
 

Attachments

  • Mbsa.jpg
    456.6 KB · Views: 18


MY TAKE
Sasa kama mlijenga Eldoret pipeline haina capacity ku-serve Uganda, ni kitu gani lazy Kundustan inaweza? Si mli-modernize hiyo Eldoret pipeline majuzi tu?


Na mbona mnaumia kunyimwa mradi wa EACOP? Sisi si level yenyu! Tuna-host 2 major gas pipelines, about to host EACOP n don't forget TAZAMA oil pipeline since 1970s na juzi Zambia wame-sign agreement ya gas pipeline!


Endeleeni ku-mobilize activists wa-protest EACOP! Wakati mmeomba gas pipeline connection btn Dar n Mombasa!

Pia Leo


CC: NairobiWalker KANAIRO mwaiofhawaii Teargass n Nicxie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…