chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
Mpumbavu mmoja anaugulia kunyang'anywa deal ya ku-import oil ya Uganda!I thought you said you are a professional civil engineer,? Nah ? how comes you are unable to see the project that is still under construction ? Anyway I am not surprised, alikuwako mkunya mmoja very honest by the name Teargas akasema in Kunya you can Join undergraduate program in any engineering program without a Physics Background. Hii pia mimi niliona ni maajabu ya dunia. Only possible in failed states like coondustan.
Kwani umeambiwa hiyo 5 bln mpaka jengo kukamilika?5b ? Joke indeed, halafu huyo katibu mkuu wa wizara is a healthcare professional, 5b itafanya nini ? Haiwezi maliza hata jengo moja la 5 storeys,
Kitanda kimoja cha kisasa kwa sasa ni almost $500-1000.
What about equipments ? What about pharmacy ? Disposables ? Ambulance ?
Siasa tu kila sehemu
Ni suala la muda tu, watanena kwa Lugha mbwa hawa . I give them till 2035, we will have to review our immigration policies and regulations and make them more stricter. Save this.Mpumbavu mmoja anaugulia kunyang'anywa deal ya ku-import oil ya Uganda!
Tunahitaji kuwa serious when it comes to Healthcare service and delivery. Huwezi tenga 5B seriously , kwa sasa nchi yetu ni kubwa na ina heshima . Why not put aside 100b kwa kuanzia ? Kumbuka as we speak tunapokea wageni wengi toka Kenya, Zambia, Burundi, DRC , Malawi, Uganda nk wanaokuja kutibiwa Ben Mkapa, Muhimbili, Ocean Road , KCMC, JKCI nk , sasa sehemu kama Kigoma ambapo tungewahudumia DRC, Rwanda, Burundi halafu unaweka 5B ?Kwani umeambiwa hiyo 5 bln mpaka jengo kukamilika?
Azam ndio brand kubwa ya media huko lazy land kwahivyo lazima mtazitazama mechi za KPL. Nikama kuweka kipindi citizen TV, lazima wakenya wataitazama. Tena bado mnatupatia pesa Zenu za madafu π
Kwa kuanzia ujenzi inafaa,ni Bora waanze na jengo Moja itaonesha wameanza.5b ? Joke indeed, halafu huyo katibu mkuu wa wizara is a healthcare professional, 5b itafanya nini ? Haiwezi maliza hata jengo moja la 5 storeys,
Kitanda kimoja cha kisasa kwa sasa ni almost $500-1000.
What about equipments ? What about pharmacy ? Disposables ? Ambulance ?
Siasa tu kila sehemu
Nyie nyang'au mmejaa wivu ile mbayaπππ
Achana na kichaa huyo....kwanza hio barabara ya Airport to CBD ya Dar inawekwa BRT phase 3...kama hajuiUnatafuta attention ama? CBD Dar ipo Tandika?
Kaumia βοΈβοΈπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Cameroon, Senegal, Mali, Nigeria, Togo etc. are all footballing countries ranked higher than TZ.
Yet they're even bigger shitholes. π π π
Kazi yenu imekuwa kila siku kupost video za mpira wenu, kwani hamna mengine yanayofanyika nchi? ππ
Mzee wa expressway karudi, akitoka apo anapost gtc kamaliza π€£π€£π€£π€£π€£π€£View attachment 2805606
zenu za hali ya juu zimebeba mizigo tani ngapi au zmebeba abiria millioni ngapi?
Barabara mpya hiyo haijaanza kutumika, ni BRT phase 2, hiyo ni michanga baada ya ujenzi, haitakuwepo hapo piga ua.
Pale ni jangwani ambapo litajengwa daraja.Geographically Dar is a flooding plain, a low basin area , Justifiable , such consequences of unpredictable heavy rains are anticipated,
Sasa what explainations do you have for floods in the highland slummy town of Nairobi ? Hata ikinyesha mvua ya milimita kiduchu mafuriko nairobi ni lazima . isnβt it ?
Pia naona bendera ya Tanzania kwenye stika hapo kwenye kifuniko, au macho yangu?Serengeti ni brand kubwa sana, SA wana wild parks kibao sijui nini kimewafanya watumie jina letu ila uzuri wameisifia
View attachment 2805550
Zwazwa nae kachekelea hajui tandika buza ni over 15km from CBD π€£π€£π€£π€£π€£Unatafuta attention ama? CBD Dar ipo Tandika?