Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

MFUPA ULIO MSHINDA FISI

DAR ES SALAAM 02/11/2023

View attachment 2802335

ooh ooh mmh mmh (chally)
Hey hey, heey ooh ooh

Sikatai yule muonyesha wivu
Ndiye mwenye mapenzi ya kweli kwa mwenzi
Lakini pia uvumilivu
Na vitendo vya karaha vilimuumiza

Mwenzio mimi ni mtulivu
Na kuiba mali ya mtu sijafunzwa
Ona dhambi lawama
Ulonipa mimi leo inaniuma eh

Fikira zako ziko vibaya
Na kudhani ya kwamba yule demu nilimpenda
Ni kweli nilimpenda
Lakini ni kama rafiki wa mtima

Haya ulofanya leo
Ikifika kesho utajibu nini kiama
Kwa yale yote mapendo ni kama kioo
Aliyokupa niliyaona

Those were the days
Unakula wimbo kama huu huku unanyoosha wakenyaπŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
jana ali-post mitumbwi yao used pale Mombasa nikamgonga KO!
 
Don't confuse backyard gardens with acres of cassava plantations za Dar
Natamani kungekua na uwezo kutuma voice humu Ili nikutukane huku nikikufundisha 🀣🀣🀣wewe mpumbavu hujui chochote kuhusu hii dunia, nyamaza kimya punda wewe.. nitakutafuta video alizopost mkunya mwenzako Ibrahim Onami huko YouTube akionyesha mashamba ndani ya cities za US ..
 
Wewe ukilaza wako tumeizoea hapa ndani. Ni dharau kubwa sana Mombasa kulinganishwa na kijiji cha Mwanza. Mwanza naipa sehemu kidogo tu ya Mambasa inaitwa KizingoView attachment 2802142View attachment 2802144View attachment 2802147
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Asante kwa kuanza kunichekesha weekend hii
 
Upo vyema Ndugu
 
Wakenya wote naomba muangalie hizi video mjifunze kitu tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…