Kuna miradi ifuatayo ambayo pengine Kunya nzima hakuna
-Ujenzi wa SGR Tabora-Kigoma (Main Camp ni Uvinza?
-Ujenzi wa Station Kubwa ya Sgr Kigoma mwisho wa reli
-Ujenzi wa Barabara za lami za kuunganisha na Mikoa na Nchi jirani zaidi ya km 420
-Street roads za Km 11 Mradi wa Tactic plus mitaro
-Upanuzi wa uwanja wa ndege plus new terminal building
-Upanuzi wa Chuo Cha Taifa Cha Hali ya hewa Kigoma plus radar installation
-Ujenzi wa Tawi la Chuo Kikuu Cha Muhimbili
-Ujenzi wa Hospital ya Kanda ya Magharibi Kigoma
-Ujenzi na upanuzi wa Bandari ya Kigoma na Lagosa
-Ujenzi wa meli Mpya na Kiwanda Cha kuunda meli
-Ujenzi wa Chuo Cha TIA Kampasi ya Kigoma
-Ujenzi wa One Stop Inspection Centre Mpakani na Burundi
-Ujenzi wa Mradi wa Umeme wa Kv 400 Nyakanazi-Kidahwe
-Ujenzi wa Tawi la BoT Kanda ya Magharibi
Kiufupi Kigoma ni 🔥🔥.Waswahili wanasema Chelewa ila ufike
View: https://youtu.be/E_M9j_lx28g?si=rSHBtKzypdSbtxKK